• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WATUMISHI UBUNGO WAPEWA MAFUNZO YA NEST MOROGORO

Posted on: February 3rd, 2024

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg. Elias Ntiruhungwa amewataka Watumishi wa Halmashauri ya Manispaa  hiyo wanaoshiriki mafunzo ya Mfumo mpya wa Manunuzi ya Umma kwa njia ya kielektroniki (National e-procurement system of Tanzania_NEST) ambao ulianza kutumika rasmi tarehe mosi Oktoba, 2023 baada ya mfumo wa zamani  wa TANePS kufika ukomo wake kuzingatia mafunzo yanayotolewa juu ya mfumo huo.

Ntiruhungwa ametoa maelekezo hayo wakati akifungua mafunzo ya mfumo huo yanayofanyika mkoani Morogoro  kwa watumishi hao lengo ikiwa ni kuwajengea uwezo wa namna ya kutumia mfumo huo mpya katika manunuzi yote ya Umma.

"Kutokana na umuhimu wa mfumo huu niwasihi washiriki wote kuzingatia kwa makini mafunzo haya ili kuelewa vizuri matumizi ya mfumo huu Mhimu katika kufanya manunuzi yote ya  Umma kwenye Halmashauri yetu" alisisitiza Ntiruhungwa.

Ntiruhungwa amesema kuwa, baada ya kuona Umuhimu wa Mfumo huo, "niliona ni vema niwaombe PPRA watujengee uwezo namna ya kutumia mfumo huu ili manunuzi yasikwame lakini pia tusiende kinyume na sheria ya ununuzi"

Akiongea na washiriki, mwezeshaji wa mafunzo hayo Kutoka PPRA ndugu Anthony Underson Masau amesema "Mfumo huu wa NEST ni rafiki na rahisi kwa watumishi, ni wawazi na shirikishi hivyo unaondoa mianya yote ya upendeleo na rushwa hivyo utaongeza uwajibikaji na uwazi katika kufanya ununuzi ya Umma.

Masau ameendelea kueleza kuwa, Mfumo huu pia unarahisisha utendaji kazi wa Serikali katika kushindanisha wazabuni, uundaaji wa zabuni ndani ya mfumo na utaondoa matumizi ya karatasi (paper Work) kwani kila kitu kitafanyika ndani ya Mfumo

Kwa upande wake kaimu mkuu wa kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira Bi Nice Vahaye ameshukuru kupatiwa mafunzo hayo mhimu kwani yatamjengea uelewa wa mfumo utakaopelekea ufanisi katika matumizi sahihi ya mfumo huo. 

 "Pamoja na kuwa mfumo tulishaanza kuutumia lakini ufanisi wake ulikuwa mdogo kutokana na uelewa wa matumizi wa mfumo huo ulikuwa mdogo, natumai baada ya mafunzo haya watumishi watakuwa na uwezo wa kutumia vizuri mfumo huu mhimu ukizingatia zaidi ya asilimia 80 ya bajeti ya Halmashauri yetu inahusu manunuzi" alisema Nice















































Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa