• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WATUMISHI UBUNGO WAPIGWA MSASA WA MAADILI YA KAZI

Posted on: September 13th, 2024

Watumishi wa umma Manispaa ya Ubungo waaswa kuepuka vitendo vya rushwa na kuzingatia maadili ya kazi.

Watumishi wa Umma, Manispaa ya Ubungo wameaswa na kutakiwa kujiepusha na vitendo vya rushwa na badala yake wazingatie maadili, sheria, taratibu, na kanuni wakati wanapotoa huduma kwa umma.

Hayo yamesemwa na mkuu wa Idara ya maendeleo ya Jamii Bi. Rose Mpeleta ambaye pia ni Mwenyekiti wa kusimamia masuala yote ya maadili katika halmashauri ya Manispaa ya Ubungo wakati akimwakilisha mkurugenzi kwenye ufunguzi wa mafunzo maalum juu ya maadili na vitendo vya rushwa, yaliyofanyika leo 13/09/2024 katika ukumbi wa Manispaa ya Ubungo.

Bi. Mpeleta amesema kuwa Watumishi wa Umma wanatekeleza majukumu yao kwa niaba ya Rais kwa mujibu wa Ibara ya 35 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.

“Mtumishi akila rushwa au akikiuka maadili ni fedheha kwa Serikali na kwa jamii kwa ujumla, hivyo mtumishi huyo hastahili kuendelea na utumishi wake. Tutapita kila eneo na kila Idara, Shuleni, Hospitalini na sehemu zote za halmashauri kueleza maana ya utumisi bora katika kukuza taaluma zetu, na kuhakikisha maadili ya kazi yanafuatwa katika maeneo yetu ya kazi ” Alifafanua Bi. Mpeleta

Katika eneo la rushwa, Maafisa waandamizi wa TAKUKURU Bi. Magdalena Sendasenda na Bwana Mboto Malugu wamesema mmoja kwa nafasi yake anapaswa kutekeleza wajibu wake wa kutotoa wala kupokea rushwa kwani kutoa rushwa na kupokea rushwa yote ni makosa na kwamba hakutakuwa na rushwa endapo hakutakuwa na mtoaji wala mpokeaji rushwa.

Aidha wamebainisha kuwa wajibu wa TAKUKURU kwa mujibu wa sheria na. 11 ya mwaka 2017 ni kuchunguza, kupeleleza na kupeleka mahakamani mtuhumiwa endapo atabainika na makosa hayo.

“Maslahi kidogo na marupurupu siyo kigezo cha wewe kuomba au kupokea rushwa, Epuka tama, zingatia maadili ya kazi ikiwemo Uwajibikaji kwa umma, , Matumizi sahihi ya taarifa, Bidii kzini na utii kwa serikali”-Mboto Malugu, Afisa wa TAKUKRU

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa