• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WAPIGWA MSASA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2020

Posted on: October 23rd, 2020

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ubungo na Kibamba Beatrice Dominic amewataka Wasimamizi wa vituo vya kupigia kura katika Uchaguzi mkuu ujao kutekeleza majukumu yao kwa weledi, uadilifu na pamoja na kuzingatia miongozo na maelekezo yatakayotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ili zoezi la uchaguzi liende vizuri.

Maelekezo hayo yametolewa leo wakati akifungua semina elekezi kwa wasimamizi hao wa vituo vya kupigia kura iliyofanyika Leo tarehe 23 oktoba ,2020 katika kumbi za chuo kikuu cha Dar es salama

Msimamizi msaidizi jimbo LA Ubungo Kissah Mbilla akitoa mafunzo elekezi kwa wasimamizi wa vituo vya kupigia kura.

Beatrice amewaeleza Wasimamizi hao wa vituo vya kupigia kura kuwa, kushindwa kutekeleza wajibu wao ipasavyo kunaweza kusababisha vurugu, malalamiko au kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi, "hivyo ili Uchaguzi ufanyike Kwa amani na haki  zingatieni Sheria, miongozo na taratibu za uchaguzi"

Wasimamizi wa vituo vya kupigia kura wakisikiliza kwa makini maelekezo ya namna ya kusimamia uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 oktoba,2020


Aidha, Wasimamizi na Wasimamizi wasaidizi wa vituo  vya kupigia kura wana wajibu wa kuhakikisha utulivu na usalama unakuwepo muda wote kwenye kituo cha kupigia kura, hii itafanya wapige kura kwa Uhuru na amani.


"Mkitumia madaraka yenu vizuri mtasaidia kuondoa migogoro inayoepukika na kufanya zoezi la uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kuwa la mafanikio makubwa" alieleza Beatrice


Aidha, Beatrice amewasisitiza Wasimamizi wa vituo  hao kuheshimu viapo walivyo apa vya kutunza Siri  na kujitoa uanachama wa vyama vya siasa wakati  wote kuanzia, wakati wa mafunzo, Uchaguzi na baada ya zoezi la uchaguzi kumalizika.

Manispaa ya Ubungo ina jumla ya vituo 1545 vya kupigia kupigia kura Kwa Jimbo la Ubungo na Kibamba.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MIRADI 7 YENYE THAMANI YA BILIONI 8.2 UBUNGO YAPITA KWA KISHINDO MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

    June 05, 2025
  • TUZINGATIE USAFI KUEPUKA MAGONJWA

    May 31, 2025
  • BODI YA AFYA UBUNGO YAPONGEZA WATAALAM WA AFYA NA KUTOA MAAGIZO YAKUBORESHA NYANJA MBALIMBALI

    May 29, 2025
  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa