• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WAZIRI BASHUNGWA ATEMBELEA UBUNGO, ASEMA NENO

Posted on: November 13th, 2023

Wizara ya ujenzi ipo kazini usiku na mchana kuhakikisha changamoto zote za miundombinu katika wilaya ya Ubungo zinapungua kwa kiasi kikubwa ikiwa ni pamoja na ujenzi wa barabara mbalimbali kwa kiwango cha lami, ujenzi wa vivuko pamoja na madaraja" Hayo yamesemwa na waziri wa ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa (MB) akiwa kwenye ziara yake katika wilaya ya Ubungo mapema  Novemba 13, 2023

Akiwa katika ziara hiyo Bashungwa amekagua mradi wa barabara ya kilomita 1.5 iliyojengwa kwa kiwango cha lami kutoka Kibamba kwenda Kibwegere ambapo ameahidi kumalizia Kilomita 5 zilizosalia kwa kiwango cha lami ila kuwarahisishia usafiri wakazi wa maeneo hayo na watanzania wote kwa ujumla

"Mbunge wa jimbo la Kibamba Mhe. Issa Mtemvu anafanya kazi nzuri na amekuwa akinikumbusha kila mara kuhusu barabara hii pamoja na barabara ya Mbezi kwa Yusuf kwenda Mpigi Magoe ambapo barabara zote hizo zipo kwenye vipaumbele vyetu ili zijengwe kwa kiwango cha lami" alisema Bashungwa


Aidha tayari Mhe. Bashungwa ameagiza mameneja wote wa wilaya na mikoa wa TANROADS kuainisha vipaumbele vya barabara zote muhimu kwenye maeneo yao ili ujenzi wake uendane kulingana na umuhimu wa matumizi ya barabara hizo


Pia, Mhe. Bashungwa amekagua barabara ya Kimara - Bonyokwa ambayo imeathirika kwa kiwango kikubwa na mvua inayoendelea hivi sasa katika mkoa wa Dar es Salaam ambapo ametumia nafasi hiyo kuwahakikishia wakazi wa maeneo hayo kuwa ujenzi wa barabara hiyo kwa kiwango cha lami unatarajiwa kuanza mwezi Disemba 2023


Tayari Mhe. Bashungwa amemuagiza meneja wa TANROADS kuhakikisha anaanza kutekeleza mpango wa dharura kwa nyakati za usiku ili kuwezesha barabara hiyo kupitika wakati inasubiri mkandarasi kuanza kazi mapema mwezi Disemba

Akitoa shukrani mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila amemshukuru waziri Bashungwa kwa jitihada zake za kuwafikia wana Ubungo na kutoa msukumo wa utekelezaji wa miradi ya miundombinu

Nae mbunge wa jimbo la Ubungo Mhe. Kitila Mkumbo amemshukuru waziri Bashungwa kufika kwenye jimbo lake na kujionea adha ya usafiri wanayopata wananchi  hivyo ni imani yake kuwa ujenzi wa barabara hiyo utaanza na kukamilika kwa muda uliopangwa kuanzia Disemba 2023















Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa