• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WAZIRI MKUU ALAANI VITENDO VYA UVUNJIFU WA AMANI VILIVYOTOKEA OKTOBA 29, AWASIHI WANANCHI KUILINDA TANZANIA KWA WIVU MKUBWA

Posted on: November 24th, 2025

Waziri Mkuu wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu, amelaani vikali matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea Oktoba 29, na kuyataja kuwa ni kitendo kisichokubalika ambacho kinaashiria jaribio la kuvuruga misingi ya utulivu na mshikamano wa taifa.

Akizungumza leo jijini Dar es salaam katika mkutano wake wa hadhara ikiwa ni seheumu ya kufanya tathmini ya athari ya vurugu za uchaguzi zilizotokea Oktoba 9, 2025, Dkt. Nchemba alisema takwimu za awali zinaonyesha kuwa zaidi ya ofisi za kata 700 zimechomwa moto, pamoja na vituo vya mafuta, magari ya watu binafsi, pikipiki, na miundombinu mingine ikiwamo vituo vya mwendokasi, na kusababisha athari kubwa katika uzalishaji na maisha ya wananchi.

“Haya mambo si ya kuchukuliwa kwa wepesi. Athari zake ni kubwa, na wengi wa waathiriwa ni vijana. Ni vyema vijana wetu wakafikiria kabla ya kuchukua hatua,” alisema Waziri Mkuu.

Dkt. Nchemba amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi tajiri kwa rasilimali, na ndiyo sababu baadhi ya watu wanajitokeza kuidhoofisha kwa kuchochea migawanyiko ili kuifanya isitawalike.

“Tanzania ni tajiri kwa rasilimali. Ndiyo maana wengine wanachonganisha ili nchi iyumbe na iingie kwenye machafuko. Lakini serikali ipo imara, na tutaendelea kuilinda nchi kwa gharama yoyote,” aliongeza.

Kuhusu miundombinu iliyoharibiwa, Waziri Mkuu alisema serikali tayari imeanza tathmini ya uharibifu na itagharamia ukarabati wake ili huduma kwa wananchi zirejee haraka.

Aidha, amewataka wananchi kumwamini Mheshimiwa Rais pamoja na tume maalum aliyoiunda kuchunguza matukio hayo, akisema tume hiyo ndiyo itakayotoa picha kamili ya kilichotokea.

“Wapo wanaojaribu kuligeuza hili suala na kulizungushia kwenye mviringo wa uchaguzi au vyama vya siasa. Lakini ukweli ni kwamba hii ni vita ya kugombania rasilimali tulizonazo. Tanzania si mali ya serikali, wala ya vyama vya siasa—ni mali ya Watanzania,” alisema.

Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu alikemea vikali kauli za baadhi ya viongozi wa dini wanaodai kuwa wako tayari “kukata vichwa kwa ajili ya kumlinda Rais”, akisema misimamo ya namna

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WATENDAJI TOENI ELIMU KWA WAZAZI KUHUSU SUALA LA LISHE KWA WATOTO" DC MSANDO

    December 19, 2025
  • WATENDAJI TOENI ELIMU KWA WAZAZI KUHUSU SUALA LA LISHE KWA WATOTO" DC MSANDO

    December 19, 2025
  • UBUNGO YAENDESHA MAFUNZO YA MFUMO WA USIMAMIZI WA MIRADI

    December 08, 2025
  • WAZIRI MKUU ALAANI VITENDO VYA UVUNJIFU WA AMANI VILIVYOTOKEA OKTOBA 29, AWASIHI WANANCHI KUILINDA TANZANIA KWA WIVU MKUBWA

    November 24, 2025
  • Tazama zote

Video

UBUNGO YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA | WANAFUNZI WAASWA KUJITUNZA
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa