• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WILAYA YA UBUNGO YAZINDUA KAMATI YA MAAFA YA WILAYA

Posted on: April 6th, 2020

Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo tarehe 6/4/2020  imefanya uzinduzi wa kamati ya Maafa ya Wilaya  katika Ukumbi uliopo katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Luguruni na kufunguliwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo  Beatrice Dominic

Katika uzinduzi huo mwezeshaji alikuwa ni Mratibu wa timu ya Wataalam ya Maafa Mkoa wa Dar es Salaam Dk.Christopher Mnzava na Mratibu  wa maafa Wilaya ya Ubungo Juliana Kibonde

Lengo/kazi ya  kamati hiyo ni Kuhuisha masuala ya dharura na maafa katika mipango ya kimaendeleo, kufuatilia tishio la majanga  na maafa wilayani na kuchukua hatua, kuainisha mahitaji na kutoa elimu, kufanya uchunguzi wa kutokea kwa maafa na uchoraji wa Ramani, kuunda timu ya ukabilianaji wa maafa na muundo wa kulinda jamii na kuhakikisha vifo vinavyotokana na dharula mbalimbali vinazuiliwa.

Katika uzinduzi huo Mkurugenzi aliwaasa viongozi wa dini na asasi kuwa ni wajumbe ambao wataweza kufikisha taarifa ya mambo ambayo Manispaa inafanya na hata majanga mbalimbali yanapotokea watakuwa mawakala wazuri katika kuongelea hayo kwa wananchi.

"Kuna mambo mengi yanayotokea katika jamii kwa sasa, Kuna janga la korona nyie sasa ni watu ambao mtakuwa mstari wa mbele  kuelimisha watu kwenye jamii zetu tuepukane na janga hili". Aliongeza Mkurugenzi.

Nae Dr. Nnzava alieleza kuwa ni nafasi ya kila mmoja kuhakikisha anatafuta mbinu na namna ambayo itatumika kudhibiti maafa na pia yanapotekea  Maafa vifo hupungua endapo yakiratibiwa kiitalaam.

Mwisho Mratibu wa Maafa Manispaa ya Ubungo alishukuru kwa ujio wa wajumbe na kuomba kushirikiana bega kwa bega ili kusaidia Manispaa ya Ubungo katika suala zima la maafa.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa