• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

ZIARA YA DC KOMBA KATA KWA KATA YAANZA KWA NAMNA YA PEKEE | ATOA MAAGIZO MAKALI KWA WATUMISHI WA UMMA

Posted on: July 11th, 2023

 Julai 11, 2023 mkuu wa wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba ameanza ziara yake ya kukagua miradi na kutatua kero za Wananchi katika kata ya Goba, ziara ambayo amepanga kuifanya kwa muda wa siku 14 kuanzia leo Julai 11 mpaka Julai 26, 2023 katika kata zote 14 za wilaya ya Ubungo. 

Katika kata ya Goba leo DC Komba amekagua jumla ya miradi minne ambayo ni shule ya sekondari Goba, Shule ya msingi Kinzudi, Zahanati ya Kinzudi pamoja na mradi wa shule mpya ya msingi ya Tegeta A inayojengwa kwa fedha za BOOST

DC Komba ametumia ziara hiyo kuwaonya watumishi wa umma ambao wamekua na kawaida ya kutumia nafasi zao vibaya kwa maslahi binafsi ikiwemo kula rushwa pamoja na kutokuwa waadilifu kwenye kusimamia miradi ya maendeleo kuwa wanatakiwa kuacha tabia hiyo mara moja kwani la sivyo itawagharimu

 DC Komba ametoa muda wa mpaka Agosti 11 ujenzi wa mabweni shule sekondari Goba pamoja na mradi wa zahanati ya Kinzudi kukamilika ili kuanza kutoa huduma kwa wananchi ili kuunga mkono juhudi za Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za Kugatua huduma kwa wananchi 

Katika mradi wa shule ya msingi Kinzudi, DC Komba ameridhishwa na kufurahishwa na mradi huo ambao umetumia shilingi milioni 100 kujenga madarasa matano pamoja na madawati yake katika ubora mkubwa.

Aidha DC Komba amechangisha harambee ya kiasi cha shilingi 371000 ili kusaidia zoezi la umaliziaji wa vyoo vya shule hiyo na ametoa maelekezo kwa afisa elimu msingi kuhakikisha shule hiyo inapatiwa usajili mapema kutoka sasa ili ianze kutumika 

 Mwisho DC Komba amefanya mkutano na wananchi wa Goba katika eneo la Simba Oil, ambapo amesikiliza kero za wananchi wa kata ya hiyo na kuzipatia ufumbuzi.

DC Komba katika ziara yake aliungana na wataalamu wa manispaa ya Ubungo, wataalamu kutoka TARURA pamoja na wataalamu kutoka DAWASA 

DC UBUNGO  Hashimu Komba  akikagua miradi katika ziara aliyoianza ya kukagua miradi Kata kwa kata 


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa