• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mipango miji na Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Utumishi na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Maji na Usafishaji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
        • Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

ZIARA YA KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI,AFYA NA ELIMU KATIKA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: January 15th, 2022


Wajumbe wa Kamati ya Huduma za Uchumi ,Afya na Elimu Manispaa ya Ubungo wamefanya ziara ya kukagua miradi ya Maendeleo inayotekelezwa katika wilaya hiyo. 

Ziara hiyo imefanyika tarehe 15january,2022 nakutembelea Ujenzi wa Wodi ya wazazi katika Zahanati ya Mabibo iliyopo Kata ya Mabibo na ujenzi wa madarasa 8 katika shule ya sekondari Mabibo 

aidha Wajumbe wamepongeza jitihada za serikali katika kihakikisha huduma zinawafikia wananchi wake kwani hatua ya miradi yote ipo hatua nzuri

sambamba na hayo Wajumbe hao wameagiza   wodi ya wazazi katika zahanati ya Mabibo   ianze kutumika kuanzia sasa ili huduma ziendelee kutolewa kwa wagonjwa wanaotaka kujifungua












ReplyForward






Taarifa

  • HUDUMA YA KUKODI GARI LA MAJI TAKA June 12, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA August 12, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA April 26, 2021
  • TANGAZO KWA WAMACHINGA WOTE November 20, 2021
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC UBUNGO AZINDUA KAMPENI YA CHANJO YA POLIO

    May 18, 2022
  • MANISPAA YA UBUNGO YAPOKEA UGENI KUTOKA OR - TAMISEMI NA WADAU WA MNYORORO WA UGAVI NA USAMBAZAJI WA BIDHAA ZA AFYA

    May 17, 2022
  • AJENDA YA ULINZI NA USALAMA NI NYUMBA KWA NYUMBA UBUNGO

    May 14, 2022
  • BARABARA YA SUKA - GOLANI MAMBO SAFI

    May 14, 2022
  • Tazama zote

Video

TAREHE 11/05/2022 MWENGE WA UHURU UTAPOKELEWA UBUNGO MANISPAA
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kibamba Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa