• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

ZIARA YA KAMATI YA MFUKO WA JIMBO LA KIBAMBA YA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI.

Posted on: March 1st, 2022




Kamati ya Mfuko wa Jimbo la Kibamba ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mbunge wa Jimbo la Kibamba Mh. Issa Jumanne Mtemvu Jumanne Machi 01, 2022 imeridhishwa na  utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa kupitia  Mfuko huo  kwa mwaka wa fedha 2020/2021 ikiwemo miradi ya elimu kwa mwaka wa fedha 2020/2021 iliyogharimu Tsh Milioni 52,782,250/ =


Katika ziara hiyo Kamati imetembelea miradi mbalimbali ikiwemo  mradi wa utengenezaji wa viti na meza Shule ya Sekondari Goba,  mradi wa mafunzo ya Sayansi Shule Sekondari Kibwegere unaojikita zaidi kwenye tafiti.


Baada ya ukaguzi wa miradi hiyo, Mbunge wa Jimbo la kibamba ambae ndiye mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Issa Mtemvu amesema kuwa Kwa kipindi cha mwaka mmoja Jimbo limepokea kiasi cha shilingi milioni  52,782,250/= kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayolenga hasa kutatua kero za Wananchi katika Nyanja mbalimbali za Maendeleo.


Na pia mtevu ameeleza kuwa katika kuwezesha wananchi kiuchumi ni vema wananchi wakachukua fursa ya kupata mikopo isiyo na riba inayotolewa na Manispaa kupitia asilimia 10 ya mapato yake ya ndani Kwa kijiunga kwenye vikundi ili wakopeshwe fedha hizo.


Miradi iliyotembelewa na Kamati hiyo ni pamoja na Mradi wa ukarabati wa madarasa katika shule ya Msingi ya Mabake iliyopo Mbezi na Shule ya Msingi ya Abdul Wakil iliyopo Kibamba, mradi wa ununuzi wa mashine ya kusaga kwa kikundi cha wazee cha BAWAZI kilichopo Mbezi.


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MIRADI 7 YENYE THAMANI YA BILIONI 8.2 UBUNGO YAPITA KWA KISHINDO MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

    June 05, 2025
  • TUZINGATIE USAFI KUEPUKA MAGONJWA

    May 31, 2025
  • BODI YA AFYA UBUNGO YAPONGEZA WATAALAM WA AFYA NA KUTOA MAAGIZO YAKUBORESHA NYANJA MBALIMBALI

    May 29, 2025
  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa