• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mipango miji na Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Utumishi na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Maji na Usafishaji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
        • Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

Mipango miji na Ardhi

MIPANGO MIJI, ARDHI

Idara ya Mipangomiji na Ardhi hushughulikia masuala mbalimbali kuhusu uendelezaji wa Makazi, Ardhi na Maliasili. Idara hii inatekeleza na kusimamia Program mbalimbali zinazohusiana na maendeleo ya makazi ikiwemo Program ya kuboresha miundombiu ya jamii katika maeneo yasiyopangwa (DMDP), Program ya Mtandao wa Miji Tanzania (TACINE).

 Muundo wa Idara

Idara ya Mipangomiji na Ardhi ni mojawapo kati ya Idara 19 za Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo zinazofanya kazi chini ya Mkurugenzi wa Manispaa. Idara imegawanyika katika sehemu nne zinazojumuisha Miliki na Maendeleo ya ardhi, Mipango ya Makazi, Uthamini, Upimaji na Ramani

  Majukumu ya Idara

Kuandaa na kusimamia utekelezaji mipango ya uendelezaji wa ardhi katika Manispaa kwa kuzingatia Mpango Kabambe, Sheria ya Mipangomiji Sura Na. 8 ya mwaka 2007, sheria ya Ardhi na 4 ya mwaka 1999 na kanuzi zake pamoja na mingozo mingine inayotolewa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

Ø  Upimaji wa viwanja vya matumizi mbalimbali

Ø  Uthamini wa majengo na mazao kwa ajili ya fidia, kodi ya majengo, mauzo, rehani na huduma nyinginezo.

Ø  Kuchunguza ramani za ujenzi zinazowasilishwa kwa ajili ya maombi ya vibali vya ujenzi.

Ø  Kuchunguza na kupitisha fomu za maombi ya leseni za biashara mbalimbali.

Ø  Kusimamia utunzaji, kuhifadhi, kuimarisha na kuendeleza rasilimali ya maliasili.

Ø  Kuandaa miliki za viwanja mbalimbali

Ø  Kusimamia utekelezaji wa program zifuatazo:-

i. Mradi wa kuboresha miundo mbinu kwenye maeneo yasipangwa (DMDP)

ii.  Usimamiaji na utunzaji wa takwimu za kijiografia (GIS)

iii. Kutambua na kutoa haki miliki katika maeneo yasiyopimwa (Leseni za Makazi)

iv. Kuratibu Program ya Mtandao wa Miji Tanzania (TACINE) 

Taarifa

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • JOINING INSTRUCTIONS KWA SHULE ZA SEKONDARI ZA UBUNGO MANISPAA 2023. December 28, 2022
  • SELECTION ZA KIDATO CHA KWANZA UBUNGO MANISPAA 2023 December 28, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 02, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI KATIKA ZAHANATI YA TEMBONI

    January 20, 2023
  • MADIWANI WA MANISPAA YA UBUNGO WAKUTANA KUPITIA SHERIA NDOGO MPYA

    January 20, 2023
  • MRADI MKUBWA WA KITUO CHA BIASHARA NA LOGISTIKI CHA AFRIKA MASHARIKI KUANZA KUJENGWA UBUNGO

    January 20, 2023
  • VISHKWAMBI 3354 VYAKABIDHIWA KWA WALIMU WA MSINGI NA SEKONDARI - UBUNGO

    January 16, 2023
  • Tazama zote

Video

BILIONI 271 KUJENGA KITUO KIKUBWA CHA BIASHARA UBUNGO | MADUKA 2,060 | AFRIKA MASHARIKI KUJA UBUNGO
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa