English
Kiswahili
Wasiliana nasi
|
Maswali ya mara kwa mara
|
Barua pepe za Watumishi
|
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo
Toggle navigation
Mwanzo
Kuhusu sisi
Historia
Malengo na dhamira
Maadili ya Msingi
Utawala
Muundo
Idara
Elimu Sekondari
Kilimo umwagiliaji na ushirika
Fedha na Biashara
Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
Mipango miji na Ardhi
Elimu Msingi
Utumishi na Utawala
Afya na Ustawi wa Jamii
Maendeleo ya Jamii na Vijana
Maji na Usafishaji
Ufugaji na Uvuvi
Ujenzi
Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
Vitengo
Kitengo cha Sheria
Ukaguzi wa ndani
TEHAMA
Uhusiano
Uchaguzi
Manunuzi na Ugavi
Fursa za Uwekezaji
Ufugaji
Kilimo
Masoko
Vituo vya Basi
Viwanda
Huduma zetu
Afya
Elimu
Biashara
Ushuru wa Huduma
Usajili wa Tax
Leseni za Biashara
Ushuru wa Hoteli
Ujasiliamali
Kilimo
Uvuvi
Ufugaji
UJUWA
Madiwani
Orodha za Waheshimiwa Madiwani
Kamati za kudumu
Ratiba za vikao vya kisheria
Ratiba ya Kumuona Meya
Miradi
Miradi iliyopangwa
Miradi endelevu
Miradi iliyokamilika
Machapisho
Miongozo
Fomu za Maombi
Ripoti
Sheria
Bronchures
Zabuni iliyotangazwa
Mpango Mkakati
Newsletter
Kituo cha Habari
Maktaba ya Picha
Maktaba ya Video
Taarifa kwa vyombo vya Habari
Hotuba
Fedha na Biashara
Fedha na Biashara
Fedha.
Majukumu ya Idara ya Fedha yamegawanyika kwenye nyanja zifuatazo:
Usimamizi wa Mishahara:
Kuandaa na kuidhinisha malipo ya Mishahara
kuandaa na kutunza orodha ya watumishi wanaolipwa mishahara
Kuwezesha makato mbalimbali kutoka mishahara ya watumishi na kuyawasilisha mamlaka husika
Kuwezesha Malipo:
Kuandaa na kuingiza malipo kwenye mtandao wa malipo
Kuchukua hundi za malipo kutoka Hazina ndogo
Kupeleka fedha tasilimu na hundi benki
Kutayarisha taarifa za mwezi za malipo
Kuwalipa watumishi fedha taslimu au hundi na kuwalipa watoa huduma kwa hundi
Kutunza daftari la hesabu
Hesabu za Mwisho wa Mwaka:
Kutayarisha Makadirio ya bajeti na kudhibiti matumizi
Kuandaa taarifa ya matumizi ya robo mwaka, nusu mwaka na mwaka mzima kwa ajili ya kuiwasilisha kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali
Kujibu hoja zote na maoni ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
Kuandaa taarifa ya hesabu za mwisho wa mwaka na kuziwasilisha kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
Ukusanyaji Mapato:
Kukusanya Mapato
Kusimamia mapato kwa mujibu wa sheria na miongozo
Ukaguzi wa Awali:
Kuhakiki nyaraka za malipo kama zimezingatia taratibu za malipo ikiwa ni pamoja na kuidhinishwa
Kuhakikisha kama sheria, kanuni na miongozo na nyaraka za fedha kama zimezingatiwa
Kuhakikisha malipo yatakayofanyika hayavuki bajeti ya kasma husika.
Taarifa
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI
July 21, 2022
JOINING INSTRUCTIONS KWA SHULE ZA SEKONDARI ZA UBUNGO MANISPAA 2023.
December 28, 2022
SELECTION ZA KIDATO CHA KWANZA UBUNGO MANISPAA 2023
December 28, 2022
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
June 02, 2022
Tazama zote
Habari Mpya
MAJALIWA AKAGUA MRADI WA KITUO CHA KIMATAIFA CHA KIBIASHARA MANISPAA YA UBUNGO
April 20, 2023
WAZIRI KAIRUKI AWASILISHA BAJETI YA SHILINGI TRILIONI 9 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024
April 14, 2023
DC KOMBA AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO UBUNGO
March 31, 2023
MADIWANI UBUNGO WAPITISHWA KWENYE MAELEZO YA MPANGO KABAMBE (MASTER PLAN) WA MKOA WA DAR ES SALAAM
March 28, 2023
Tazama zote