• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

ALIYOONGEA DC UBUNGO NA WAANDISHI WA HABARI

Posted on: November 16th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mheshimiwa Kheri James Mapema tarehe 16,novemba 2021 aliongea na waandishi wa habari na kusisitiza yafuatayo 

SWALA LA ULINZI NA USALAMA

•Wamiliki wa silaha wasiokuwa na kibali wanatakiwa kuzisalimisha Mapema katika Kituo chochote Cha polisi kilichokuwa karibu na asiyefanya hivyo atawajibika kwa mujibu wa sheria kwani nikosa kumiliki silaha kinyume Cha Sheria

•Aliendelea kusema kuwa Kumekua na ongezeko la matukio ya ubakaji na ulawiti kwa wanafunzi. Jambo ambalo linaendelea  kwa wale wote watakaokutwa na hatia hatua  zinachukuliwa  na amewataka wazazi kuacha tabia ya kumaliza mambo hayo kifamilia.

•Pia ameongelea kuhusu  barabara ya morogoro road kumekuwa na ajali  za mara kwa mara hivyo ameendelea kuwasisitiza wafanyabiashara  wote wanaofanya biashara katika maeneo ya barabara kuondoka ilikuweza kuondokana na ajali hizo.

 USAFI

 •Kheri amesema kutokana na Wilaya ya Ubungo kuwa ni lango la kuingilia Dar es Salaam amewataka wananchi kushiriki vyema katika program za usafi na hasa kufanya shughuli na biashara zao kwenye maeneo rasmi ili kuimarisha usafi.

•Na amewataka maafisa afya kutoa ushirikiano wa kutosha kwa viongozi wa mitaa katika kuhakikisha maeneo yote yanakuwa masafi.

•Kheri amesisitiza maeneoo yote ambayo yalikuwa yakifanyiwa  Biashara na kwa sasa maeneo hayo yamekuwa wazi yaweze  kufanyiwa usafi.

MIRADI YA MAENDELEO

•Kheri amemshukuru Mhe.rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa fedha shilingi bilioni 3.44   kwaajili ya Ujenzi wa madarasa 151  na kununua mashine ya mionzi kwa ajili ya Hospitali ya Wilaya ya Ubungo iliyopo Kimara Baruti

•Kheri Aliendelea kwa kusema kuwa Manispaa ya Ubungo inaendelea na Ujenzi huo wa madarasa ili ifikapo mwaka 2022 wanafunzi wote wa kidato cha kwanza wakapokelewe na kuanza masomo kwa pamoja

AFYA

•Aidha kheri amesema kuwa  Manispaa ya Ubungo imeanzisha kampeni ya mazoezi na amesisitiza wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki katika mazoezi hayo kwaajilli ya kupambana na magonjwa yasiyoambukiza.

•Pia amewapongeza wataalam wa Idara ya afya kwa kujitoa kwao katika swala la utoaji wa chanjo ya UVIKO 19 na  kuwasisitiza  wananchi kuendelea kujitokeza kuchanja na  kwa atakae kuwa tayari kwa hiari yake kupata chanjo hiyo basi awasiliane na yeye au Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ubungo ile waweze kufuatwa walipo kwa ajili ya kupata chanjo hiyo.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.