• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

ARDA YAWAKUMBUKA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI UBUNGO

Posted on: February 9th, 2022


Shirika la msaada la adventista wasabato (ADRA- Adventist Developments Relief Agency) kwa kushirikiana na Manispaa ya Ubungo wameandaa mafunzo ya mradi wa lishe na ugawaji wa vifaa vya kilimo kwa watu wenye ulemavu wa ngozi lengo ikiwa ni kuwawezesha kupata lishe bora na  kuwawezasha kiuchumi.


Msimamizi wa shirika la ARDA Tanzania Dina Bina ameeleza shirika limepanga kusaidia jamii kutokana na changamoto ya COVID 19 kwa kutoa elimu ya ulimaji wa mbogamboga kwa kundi la watu wenye ulemavu ili kusaidia kupata lishe bora.


Bina ameeleza sambamba na mafunzo hayo ARDA itatoa vifaa vya ulimaji wa mboga mboga hizo ambavyo ni mifuko 20 ya kupandia kwa kila mtu, tray za vitalu, vijembe, garden tools, gloves na mbegu za kuanzia. Ili kusaidia kundi hili la watu wenye ulemavu wa ngozi kuepukana na utegemezi.


Afisa Maendeleo ya Jamii Manispaa ya Ubungo Albina Mtumbuka ameeleza kuwa watu hao wanaweza kuwa na vikundi vya ujasiriamali na kufanya miradi mbalimbali ambayo itawasaidia katika kupata mikopo isiyo na riba ya kukuza biashara zao. Kwani Manispaa imekuwa ikitoa mikopo hiyo kwa makundi ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kupitia mapato yake ya ndani.


Naye Mhandisi wa Kilimo Mkoa wa Dar es salaam Rajab Omary amewapongeza ARDA kwa juhudi zao za kuisaidia serikali kwa kutoa misaada kwa jamii na amewaasa wanufaika hao kwenda kuyafanyia kazi mafunzo waliyoyapata, na kuunda vikundi mbalimbali vya ujasiriamali.


Omary ameeleza Manispaa zote zimetenga maeneo kwa ajili ya kutumika kama shamba darasa hivyo amewaasa kufanya juhudi katika kuhudumia bustani hizo za mbogamboga ili kupata fursa ya kuyatumia vizuri maeneo hayo kwa lengo la kuwawezesha kujikimu kimaisha na kiuchumi.


Nae Mwenyekiti wa watu wenye ulemavu wa ngozi Ubungo amewapongeza ARDA kwa kuwakumbuka kwa kuwapatia mafunzo na vifaa vya upandaji wa mboga mboga kwani utaenda kuimarisha afya zao na kukuza uchumi wao na ameishukuru Manispaa kwa kutenga maeneo ya shamba darasa.


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • MIAKA MINNE YA MAFANIKIO: UTELEKELEZA WA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

    September 02, 2025
  • MIKOPO YA HALMASHAURI YACHOCHEA MAFANIKIO YA WAJASIRIAMALI

    September 30, 2025
  • UBUNGO YAAHIDI KUJIPANGA IMARA ZAIDI KWA MSIMU UJAO WA SHIMISEMITA | YAPOTEZA MBELE YA DODOMA JIJI

    August 29, 2025
  • WANANCHI MSIGANI WAANZA KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA KILIMO MJINI.

    August 29, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.