• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

"BAMBOO DAY" UBUNGO KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MAGODA BAMBOO YAADHIMISHA SIKU YA UPANDAJI NYASI ZA MIANZI DUNIANI

Posted on: September 18th, 2025

Bamboo day ni siku ya nyasi za mianzi duniani ambapo leo Manispaa ya Ubungo kwa kushirikiana na Kampuni ya Magoda Bamboo Limited ambayo inajihusisha na uzalishaji wa nyasi za mianzi na bidhaa zinazotoka na mianzi ikiwemo fenicha  kwa Tanzania, wamefika katika mto Mpiji uliopo kata ya Mbezi  kwa ajili ya kuendesha zoezi zima la upandaji wa nyasi  hizo katika kingo za mto huo na jumla ya  miche ya nyasi 500 imepandwa.

Akizungumza katika zoezi hilo Leo tarehe 18 septemba, 2025 kaimu Mkuu wa kitengo Cha Maliasili na mazingira Nice Vahaye ambaye pia amemuwakilisha Mkurugenzi wa Manispaa hiyo amesema kuwa zoezi hilo la upandaji wa nyasi  za mianzi katika kingo za mto Mpiji utasaidia wakazi wa eneo hilo kwa kiasi kikubwa kwani nyasi hizo zinaenda kusaidia kuzuia madhara makubwa yatakayotokana na mto huo kuendelea kupanuka.

Vahaye ameendelea kueleza kuwa "Bamboo" ni nyasi za mianzi na Manispaa ya Ubungo inaendelea kushuruku kwa ujio wa kampuni hiyo ya Magoda bamboo company limited kwani lengo la ujio wao kwa Ubungo unaenda kuleta manufaa makubwa.

Magoda Bamboo wameleta nyasi hizo ikiwa ni moja wapo  ya zoezi la kuhakikisha maeneo yote ambayo yameathiriwa na mito hayaendelei kutanuka. ameeleza Vahaye

Yohana Abdallah mzalishaji wa miti ya mianzi kutoka Magoda Bamboo amesema kuwa dhumuni la kuleta mito hiyo ni kwa sababu uwezo wa miti hiyo kuota bila shida haichagui maeneo hata maeneo ya ukame na joto hivyo kwa kipindi cha sasa na mvua zinazoendelea itaweza kuishi na kukua zaidi

Nae, Roberto Mhando afisa uhusiano kutoka Magoda Bamboo amezungumzia kuhusiana na kampuni hiyo ambayo inajihusisha na uzalisha wa miti ya mianzi na bidhaa zinazotokana na miti ya mianzi ikiwemo fenicha na kuwakaribisha wanaubungo na wananchi kwa ujumla kufika katika kampuni hiyo kujionea na kupata elimu

Nao wakazi wa eneo hilo, wameishuru Manispaa kwa kushirikiana na bamboo kwa ujio wao kwani unaenda kuleta manufaa makubwa kwa wakazi wa eneo hilo na kusaidia kupunguza athari ambazo mto huo ungeenda kuleta kwa baadae kama ungeendelea kutanuka.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • "BAMBOO DAY" UBUNGO KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MAGODA BAMBOO YAADHIMISHA SIKU YA UPANDAJI NYASI ZA MIANZI DUNIANI

    September 18, 2025
  • TBS WAKABIDHI VITAMBULISHO 20 KWA MAAFISA AFYA WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO

    September 18, 2025
  • RAS MHITE ATEMBELEA UBUNGO, ASISITIZA UKUSANYAJI WA MAPATO

    September 12, 2025
  • MIAKA MINNE YA MAFANIKIO: UTELEKELEZA WA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

    September 02, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.