• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

BARAZA LA MADIWANI LA ROBO YA KWANZA KWA MWAKA 2019 -2020

Posted on: November 15th, 2019

Baraza hilo limefanyika tarehe 15/11 katika Ukumbi uliopo katika ofisi za Mkuu wa Wilaya likiendeshwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ubungo  Mhe. Boniface Jacob  ambaye pia ni Diwani wa kata ya Ubungo na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo *Bi.Beatrice Dominic*, Madiwani kutoka kata zote, wakuu wa Idara na waalikwa kutoka sehemu tofauti tofauti.
Wakati akifungua baraza hilo Mstahiki Meya alisisitiza kuzingatia kwa umakini uendeshaji wa kufata maadili katika kazi na kuzingatia misingi sahihi katika kazi na  kuzungumzia changamoto chache ambazo zinaonekana zihakikishwe zinazingatiwa ipasavyo na kufanyiwa ufumbuzi.
Vilevile Mhe.Boniface aliutaka uongozi wa Manispaa kushilikiana na Madiwani katika miradi ya maendeleo hususani katika ujenzi wa hospitali ya Wilaya.
Nae Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Bi. Beatrice Dominic aliahidi kuhakikisha anaongeza mapato ya Halmashauri kwa kushirikiana na watendaji wake.
Nishukuru kwa Mhe. Rais kutoa fedha ambazo zitatumika kujenga hospitali ya Wilaya  ya Ubungo na haya yote yanafanywa na rais wetu wa awamu ya tano, fedha zilizotolewa ni kwa ajili ya hospitali ya Wilaya naomba kusisitiza, aliongeza Mkurugenzi
Aidha alitolea ufafanuzi wa maswali yaliyotakiwa yapatiwe ufumbuzi kutoka kwa wajumbe na kutolea majibu kwa maswali yote yaliyokua yanahitaji kutolewa  majibu yake ya papo kwa papo .
Pia baadhi ya madiwani walitoa pongezi kwa maendeleo mbayo Manispaa inayafanya na kuongelea changamoto ambazo pia zinatokea na kuomba zipatiwe ufumbuzi na Mkurugenzi na baadhi ya wataalam kuhakikisha wanasimamia ipasavyo kazi zao.   Baraza hilo limefanyika leo katika Ukumbi uliopo katika ofisi za Mkuu wa Wilaya likiendeshwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ubungo Mhe. Boniface Jacob ambaye pia ni Diwani wa kata ya Ubungo na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo  Bi.Beatrice Dominic , Madiwani kutoka kata zote, wakuu wa Idara na waalikwa kutoka sehemu tofauti tofauti.

Wakati akifungua baraza hilo Mstahiki Meya alisisitiza kuzingatia kwa umakini uendeshaji wa kufata maadili katika kazi na kuzingatia misingi sahihi katika kazi na  kuzungumzia changamoto chache ambazo zinaonekana zihakikishwe zinazingatiwa ipasavyo na kufanyiwa ufumbuzi. Vilevile Mhe.Boniface aliutaka uongozi wa Manispaa kushilikiana na Madiwani katika miradi ya maendeleo hususani katika ujenzi wa hospitali ya Wilaya.

Nae Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Bi. Beatrice Dominic aliahidi kuhakikisha anaongeza mapato ya Halmashauri kwa kushirikiana na watendaji wake.   Nishukuru kwa Mhe. Rais kutoa fedha ambazo zitatumika kujenga hospitali ya Wilaya  ya Ubungo na haya yote yanafanywa na rais wetu wa awamu ya tano, fedha zilizotolewa ni kwa ajili ya hospitali ya Wilaya naomba kusisitiza,"* aliongeza Mkurugenzi.   Aidha alitolea ufafanuzi wa maswali yaliyotakiwa yapatiwe ufumbuzi kutoka kwa wajumbe na kutolea majibu kwa maswali yote yaliyokua yanahitaji kutolewa  majibu yake ya papo kwa papo .  Pia baadhi ya madiwani walitoa pongezi kwa maendeleo mbayo Manispaa inayafanya na kuongelea changamoto ambazo pia zinatokea na kuomba zipatiwe ufumbuzi na Mkurugenzi na baadhi ya wataalam kuhakikisha wanasimamia ipasavyo kazi zao.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • WATOA HUDUMA ZA AFYA NGAZI YA JAMII 30 WAJENGEWA UWEZO

    July 14, 2025
  • MAKABURI 29 YA UFI UBUNGO KISIWANI YAHAMISHWA KUPISHA UPANUZI WA BARABARA.

    July 10, 2025
  • UBUNGO TAYARI TUPO KATIKA MAONESHO YA 49 YA KITAIFA YA BIASHARA 7'7, MNAKARIBISHWA

    June 30, 2025
  • SERIKALI YAZINDUA MADAWATI YA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII KATIKA VITUO VYA USAFIRISHAJI.

    June 30, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.