• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

BARAZA LA MADIWANI UBUNGO LAPITISHA RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KIASI CHA SHILINGI 143,142,599,995.00 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

Posted on: February 21st, 2025

Baraza la madiwani Manispaa ya Ubungo laidhinisha mapendekezo ya rasimu ya  mpango wa  bajeti yenye makisio ya bajeti ya  mapato ya ndani, ruzuku ya matumizi ya kawaida na miradi ya maendeleo  jumla ya  shilingi 143,142,599,995.00  kwa ajili ya Matumizi ya kawaida na miradi ya maendeleo kwa mwaka wa Fedha 2025/2026.

Akisoma taarifa  ya rasimu ya bajeti hiyo Mkuu wa Idara ya mipango na uratibu Ndg. Andambike Kyomo tarehe 21 februari, 2025 amesema kuwa bajeti hiyo imelenga katika vipaumbele vitano navyo ni uendelezaji wa miundombinu, kuimarisha utawala bora, usimamizi wa mazingira na mabadiliko ya tabia Nchi, kukuza usawa wa kijinsia na uwezeshaji kiuchumi kwa makundi maalumu na wananchi.


Na katika kipaumbele cha  kuongeza mapato, Manispaa  imepanga kubuni, kusimamia, na kuimarisha ukusanyaji wa vyanzo vya mapato ya ndani. Aliongeza Kyomo

Aidha, Madiwani katika Baraza hilo wamepongeza maandalizi  ya bajeti hiyo ambayo inaenda kutekeleza miradi yote yenye tija na manufaa kwa wananchi wa Ubungo na kuagiza utekelezaji wa Matumizi ya fedha za  bajeti hiyo zikazingatiwe kikamilifu ili ziweze kuleta maendeleo  na manufaa makubwa kwa wananchi wa Ubungo

Nae Mstashiki Meya Manispaa ya Ubungo, Mhe Jaffary Nyaigesha amewataka wataalam kuendelea kukusanya mapato zaidi na zaidi na kusimamia vyema vyanzo vya mapato ikiwa ni njia moja wapo itakayosaidia Ubungo kuendelea kuwa vizuri katika kuleta maendeleo kutokana na makusanyo na vilevile kila mwaka bajeti kuweza kupanda.

Pia Mhe.Nyaigesha amewapongeza wataalam wa Manispaa hiyo kwa kuzingatia usimamizi mzuri wa mapato na utekelezaji wa miradi na pia amempongeza Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Mhe. Aron Kagurumjuli kwa juhudi anazozionesha za kuleta  maendeleo kwa Manispaa ya Ubungo

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.