• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

BARAZA LA MADIWANI UBUNGO LAPITISHA TAARIFA YA UFUNGAJI WA HESABU ZA MWISHO 2022/2023.

Posted on: August 30th, 2023

Mkutano maalumu wa Baraza la Madiwani la Manispaa ya Ubungo leo tarehe  30/08/2023 limekutana kujadili na kupitisha taarifa za ufungaji wa hesabu za mwisho wa mwaka wa fedha 2022/2023 ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya sheria ya fedha za Serikali za Mitaa “The Local Government Finance Act” section 48(4) ya mwaka 1982 iliyorekebishwa mwaka 2010.

Akiongea wakati anawasilisha taarifa hiyo Mkuu wa Kitengo cha Fedha Ndg. Revocatus Mohabe ameeleza kuwa taarifa hiyo imejumuisha taarifa mbalimbali ikiwemo taarifa ya mizania, mapato na matumizi, mtiririko wa fedha, mabadiliko ya mtaji na maelezo kuhusu Halmashauri.

Mohabe ameendelea kueleza kuwa Manispaa ilifunga hesabu hizo kwa kufuata muongozo wa “Public Finance Act, Local Government Financial Memorandum” 2010, viwango vya kimataifa vya ufungaji wa hesabu wa kimataifa, miongozo ya Mhasibu Mkuu wa Serikali pamoja na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.


Akielezea taarifa ya mapato na matumizi Mohabe ameeleza kuwa kwa mwaka wa fedha 2022/2023 hesabu za Manispaa zinaonesha kuwa hadi kufikia tarehe 30/06/2023 mapato yalikuwa na jumla ya shilingi 106,720,836,956 na matumizi ya shilingi 101,535,606,519.

Aidha, Mohabe ameeleza kuwa Manispaa imeweka mikakati juu ya uboreshaji wa  ukusanyaji wa mapato ili kuhakikisha vyanzo vyote vya mapato vinakusanywa na kusimamiwa kwa viwango  vinavyohitajika.

Kwa upande wake Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hassan Mkwawa ameitaka Wilaya hiyo kusimamia vyema matumizi ya Fedha kwa kufuata sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya Fedha sambamba na kusimamia mikakati ya ukusanyaji wa mapato na kuwataka kuendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ndani ya Wilaya hiyo.

Nae Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Mhe. Juma Nyaigesha amewataka wataalamu wa Manispaa hiyo  kuendelea kuboresha ukusanyaji wa mapato na amesisitiza  juu ya usimamizi wa mapato na matumizi ya Manispaa hiyo.




Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.