• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

BARAZA LA MWISHO LA MADIWANI KWA ROBO YA NNE MANISPAA YA UBUNGO KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020

Posted on: June 9th, 2020

Baraza hilo limefanyika  katika ukumbi wa Little Flower uliopo Mbezi na kuongozwa na Kaimu Mstahiki Meya Ramadhan Kwangaya na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic

Baraza hilo limehudhuriwa pia na Mwenyekiti wa Chama  cha CCM Wilaya ya Ubungo Ndg. Lucas Mgonja ,Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe.Kisare Makori, Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo Ndg.James Mkumbo,Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, Madiwani,na Watalaam kutoka Manispaa ya Ubungo.

Lengo la Baraza hilo ni kupitia taarifa za utekelezaji wa shughuli za Halmashauri kwa kamati zote robo ya nne kuanzia April hadi Mei.

Sambamba na hilo Katibu alipata nafasi ya kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Halmashauri kuanzia Julai 2016 hadi Mei 2020.

Aidha Shughuli za kamati kwa kamati zote zilizoundwa kwa kipindi chote ulienda vizuri kutoka kuanzishwa kwa kamati zote mpaka siku ya leo ambayo Baraza hilo la mwisho limenyika.

Vile vile Madiwani walishukuru kwa ushirikiano ambao ulitolewa na wataalam kutoka Halmashauri kwa kuleta mabadiliko kwa Manispaa ya Ubungo.

Sambamba na hilo Mkuu wa Wilaya aliwashukuru madiwani wote kwa kipindi chote walichokuwepo katika utekelezaji wa majukumu yao, nakuwataka wale wote watakaoshiriki uchaguzi wafanye kwa amani na kuzingatia uaminifu,uadlifu na kufanya kazi kwa uweledi.

”Nitoe shukrani pia kwa mweshimiwa Rais wa awamu ya tano Dk.John Pombe Magufuli kwa maendeleo anayoyaleta katika nchi yetu". Aliongezea Mkuu wa Wilaya

Mwisho Kaimu Mstahiki Meya alimshukuru Mkurugenzi pamoja na  wataalam wote wa Manispaa kwa kushirikiana na kujitoa kwenye suala la kuleta maendeleo ya Halmashauri ya Ubungo na juhudi zikaendelee kuiendeleza Manispaa Ubungo.


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.