• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

BARAZA LA WATUMISHI UBUNGO LAPITISHA BAJETI 2024/2025

Posted on: February 10th, 2024

Baraza maalumu la wafanyakazi Manispaa ya Ubungo likiongozwa na Mwenyekiti wa baraza hilo leo tarehe 10/02/2024 limepitisha makisio ya mpango na bajeti kwa mwaka wa fedha 2024/2025 baada ya kujilidhisha kuwa stahiki mbalimbali za watumishi ndani ya Manispaa hiyo zimezingatiwa katika bajeti hiyo.

Akiwasilisha taarifa ya makisio ya mpango na bajeti kwa mwaka wa fedha 2024/2025 Ndg. Andambike Kyomo Mkuu wa Idara ya Mipango na Uratibu ameeleza kuwa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inatarajia kukusanya/kupokea fedha kiasi cha shilingi 122.709,193,316.00 Kati ya fedha hizo shilingi 91,123,062,838.00 ni Ruzuku kutoka Serikali Kuu, shilingi 31,086,130,478.00 ni fedha za makusanyo ya ndani ya Halmashauri, na Shilingi 500,000,000.00 ni michango ya Wananchi.


Kyomo ameendelea kueleza kuwa Fedha za Ruzuku kutoka Serikali Kuu Shilingi 91,123,062,838.00 zinajumuisha kiasi cha shilingi 74,207,667,838.00 ikiwa ni Mishahara, kiasi cha shilingi 1,349,442,000.00 kwa ajili ya matumizi mengineyo na shilingi 15,565,953,000.00 kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo toka Serikali Kuu.

Huku shilingi 31,086,130,478.00 ambazo ni fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri zinajumuisha kiasi cha Shilingi 17,352,877,778.00 kuwa ni fedha za matumizi mengineyo na shilingi 13,733,252,700.00 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Maendeleo huku shilingi 500,000,000.00 zikiwa ni nguvu za wananchi.

Sambamba na hayo Kyomo ameeleza kuwa katika bajeti hiyo Manispaa ya Ubungo imependekeza maeneo ya kipaumbele matano yatakayozingatiwa ikiwemo Kuboresha makusanyo ya mapato ya ndani, Kuboresha huduma za kijamii katika sekta ya Afya na Elimu, Kuboresha miundombinu ya barabara, Kuimarisha utawala bora na Kuimarisha usimamizi, ufuatiliaji na utoaji taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Baraza hilo ambae pia ni Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Ndg Elias Runeye Ntiruhungwa amesema makisio ya bajeti hiyo yamezingatia stahiki zote za watumishi ili kuweza kuwaongezea ari katika utekelezaji wa majukumu yao na hivyo kuweza kutoa huduma stahiki kwa wananchi.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • "BAMBOO DAY" UBUNGO KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MAGODA BAMBOO YAADHIMISHA SIKU YA UPANDAJI NYASI ZA MIANZI DUNIANI

    September 18, 2025
  • TBS WAKABIDHI VITAMBULISHO 20 KWA MAAFISA AFYA WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO

    September 18, 2025
  • RAS MHITE ATEMBELEA UBUNGO, ASISITIZA UKUSANYAJI WA MAPATO

    September 12, 2025
  • MIAKA MINNE YA MAFANIKIO: UTELEKELEZA WA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

    September 02, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.