• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

BODI YA AFYA MANISPAA YA UBUNGO YAPONGEZA UTOAJI MZURI WA HUDUMA ZA AFYA KATIKA VITUO

Posted on: October 26th, 2023

Bodi ya Afya manispaa ya Ubungo imepongeza utoaji mzuri wa huduma za afya  katika vituo kupitia waganga wafawidhi wanaosimamia vituo hivyo kwa kuwa na ufanisi mzuri na kusimamia utekelezaji wa miradi kwa weledi

Pongezi hizo zimetolewa na Mjumbe wa bodi hiyo Ndg. Francis Kyando alipozungumzia kuhusiana na  ziara iliyofanywa na wajumbe wa bodi hiyo kutembelea katika vituo vya Afya  na kufanikiwa kupata  taarifa zilizokamilika na kufurahishwa na taarifa za ujenzi wa kituo cha afya kimara ambapo kituo hicho pia kilipongezwa kwa  utoaji  mzuri wa huduma kwa wananchi 

Kikao hicho cha Bodi ya Afya kwa robo ya kwanza Julai-Septemba 2023/2024 kimefanyika leo tarehe 26 oktoba,2023 ambapo wajumbe walipokea taarifa ya utekelezaji wa Idara ya Afya ,lishe na ustawi wa jamii.

Akisoma taarifa ya utekelezaji kwa Idara hiyo Dkt.Catherine  Saguti alisema kuwa kwa kipindi cha robo ya kwanza Idara ya Afya  ilifanikiwa kutoa  chanjo  katika vituo vyote 60 vinavyotoa huduma ya chanjo na pia ilifanikiwa Kuibua wagonjwa wa vifua vikuu ambapo jumla ya wagonjwa 170,322 waliofika katika vituo vya kutolea huduma ya afya walipatiwa elimu kuhusu kifua kikuu na ukoma 

Aliendelea kusema kuwa,  Idara imefanikiwa kupunguza vifo vya wazazi na watoto wachanga ambapo mafunzo elekezi ya huduma ya dharula ya uzazi yalifanyika kwa wataalam wabobezi katika zahanati 9 

Na kupitia Ofisi ya Ustawi wa jamii walihakikisha wazee wanatambuliwa toka kata zote 14 na wanapatiwa  vitambulisho vya msamaha wa matibabu ambapo jumla ya wazee 38 wanawake 16 na wanaume 22 walitambuliwa na kufanikiwa kushughulikia  mashauri 157 ya ndoa

Katika swala la lishe huduma za lishe mtambuka zilifanyika ikiwemo kutoa elimu ya ulishaji wa chakula mchanganyiko kwa  wazee/wazazi wenye watoto wa umri wa miezi 0-23 katika jamii kupambana na udumavu, matibabu ya utapia mlo  kwa watoto chini ya miaka mitano ambapo jumla ya watoto 14  waligundulika na utapia mlo nakupewa matibabu ya awali

Na katika Afya na Mazingira pia Idara ilifanikiwa kudhibiti usalama wa ubora wa chakula,vinywaji na malazi kwenye jamii.


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.