• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

BODI YA AFYA UBUNGO YAFANYA KIKAO CHA ROBO YA TATU 2021/2022

Posted on: June 24th, 2022

Leo tarehe 24/06/2022 Bodi ya Afya Manispaa ya Ubungo imefanya kikao cha robo ya tatu kwa ajili ya kupitia taarifa ya utekelezaji Idara ya Afya na mapato na matumizi kwa kipindi cha januari hadi machi 2021/2022.
Katika taarifa hiyo Bodi imeweza kuona namna shughuli mbalimbali za Idara ya Afya zinavyotekelezwa kupitia vitengo vyake ikiwemo chanjo, malaria, huduma ya mama na mtoto, dawa, ustawi wa jamii, bima ya iCHF iliyoboreshwa na NHIF, HIV,  Afya ya Kinga na Lishe.

Akiongea katika kikao hicho Mwenyekiti wa Bodi hiyo Bw.  Allan Sempori ameipongeza Manispaa hiyo kwa namna inavyotekeleza majukum yake kwa ufanisi hasa kwa kudhibiti matumizi na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo kwa ufanisi.

Aidha ameipongeza Manispaa hiyoh kwa kupata hati safi mfululizo na hii nikutokana na udhibiti wa mapato na matumizi kama ambavyo wamejionea kwenye taarifa ya mapato na matumizi ya vituo vyake vya kutolea huduma za afya.

Kwa upande wake Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Mhe. Jafar Nyaigesha ameipongeza Bodi hiyo kwa namna inavyojitoa katika kuhakikisha kuwa maslahi ya Umma yanafuatwa  hasa kwenye sekta hii nyeti ya Afya na kuiomba kuendelea kuishauri Manispaa pale inapobidi ili kuendelea kuipa nguvu Idara hii katika utekelezaji wa majukum yake kwa maslahi ya wananchi.

Aidha ameitaka Bodi kuwa chachu kwa wananchi kukata bima ya iCHF iliyoboreshwa ili kuwa na uhakika wa matibabu muda wote na hivyo kuisaidia Serikali kuwa na wananchi wenye kujali afya zao.

Nae Katibu wa Bodi hiyo ambae ni Mganga Mkuu wa Manispaa hiyo Bw. Peter Nsanya ameeleza kuwa vyanzo vikuu vya mapato vya Idara ya Afya ni iCHF, NHIF, Mapato ya papo kwa papo na Fedha za Mfuko wa pamoja.

Sambamba na hayo Nsanya ameeleza maoni yote yaliyotolewa na wajumbe wa Bodi hiyo yatafanyiwa kazi kwa maslahi mapana ya wananchi.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.