• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

BODI YA VILEO MANISPAA YA UBUNGO YAPITISHA LESENI 3545

Posted on: October 19th, 2023

Bodi ya Vileo Manispaa ya Ubungo imepitisha maombi ya leseni za biashara za vileo 3545  zitazoziingizia Manispaa fedha kiasi cha shilingi 123,052,000 kwa kipindi cha miezi sita kuanzia Mwezi Oktoba 2023 hadi machi 2024 ambapo kati ya hizo leseni 911 ni maombi ya  leseni  mpya.

Akiwasilisha  taarifa mbele ya Bodi hiyo,  Mkuu wa Idara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji Ndg. Mary Mwakyosi amechanganua maombi ya leseni hizo kuwa 1903 ni za bar, grosari 1127, maduka ya jumla 504 huku leseni 11 ni kwa ajili ya pombe za kienyeji.

Aidha, Mwakyosi ameeleza kuwa katika kuhakikisha wafanyabiashara wa vileo wanafuata taratibu na sheria idara inaendelea kutoa elimu ambapo wale wanaokiuka taratibu wanachukuliwa hatua ikiwemo kulipa faini au kufungia  biashara.

Mwakyosi amesema "Changamoto kubwa kwa wamiliki wa bar ni miziki mikubwa inayosababisha kelele kwa wakazi waliokaribu na bar hizo, tumekuwa tukiwaelimisha na kuwachukulia hatua "

Wakichangia taarifa hiyo, wajumbe wamesema pamoja na kupitisha maombi hayo ya leseni, ni vema wamiliki wa bar wazingatie sheria ya kuhakikisha hawasababishi kelele hasa nyakati za usiku kwa wakazi wa jirani.

Pia, wajumbe wa Bodi hiyo wamepitisha maombi ya leseni za nyongeza  ya muda wa kufanya biashara kutoka saa 6 usiku hadi saa 9 alfajili badala ya kuishia saa sita usiku tu kama sheria ya vileo Na. 28 ya mwaka 1968 inavyoelekeza.


Wajumbe wa bodi ya vileo Manispaa ya Ubungo wakiwa kwenye kikao cha bodi ya vileo

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.