• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

DC BOMBOKO AANZA ZIARA KWENYE MASOKO

Posted on: August 15th, 2024

Manispaa ya Ubungo Ina jumla ya masoko 13 Ambayo yanachangia Moja kwa moja kwenye ukusanyaji wa mapato ya ndani ya Halmashauri ambayo yanapelekea ugatuaji makubwa wa huduma za jamii kwa wananchi

Kwa kutambua Hilo, Agosti 15, 2024 mkuu wa wilaya ya Ubungo Mhe. Hassan Bomboko ameanza ziara maalumu ya kutembelea masoko yote ya Manispaa ya Ubungo kufuatilia kero mbalimbali za miundombinu ya masoko hayo na ufanyaji kazi wa wafanyabiashara

DC Bomboko ameanza ziara yake kwa kutembelea soko la Shekilango ambalo ni soko maarufu kwa uuzaji wa kitoeo cha kuku ambapo kwa ujumla Lina jumla ya wafanyabiashara zaidi ya 1000 na kwa mwezi linakusanya ushuru wa shilingi milioni nne ambapo ni chini na makadirio ya kukusanya milioni 12 kwa mwezi

Awali akitoka taarifa ya soko Hilo mkuu wa idara ya viwanda na biashara Manispaa ya Ubungo Mary Mwakyosi ameeleza kuwa soko Hilo kwasasa lipo kwenye mpango wa ukarabati mkubwa utakaogharimu shilingi Bilioni Tano kutoka benki ya maendeleo ya Afrika

Aidha DC Bomboko ametembelea soko la big brother ambapo amepongeza ukusanyaji mzuri wa mapato katika soko Hilo na tayari ametoa maelekezo ya kufanyika tathmini ya kina ya maeneo yote ya ukarabati unaohitajika katika soko Hilo ikiwa ni pamoja na ujenzi wa choo kipya pamoja na shedi la kisasa

Nae mstahiki meya wa Manispaa ya Ubungo na diwani wa kata ya Ubungo Mhe. Jaffery Nyaigesha amewapongeza wafanyabiashara wa masoko hayo kwa kuendelea kuchapa kazi na kuchangia maendeleo ya Halmashauri Yao, na ameahidi kuwa Serikali kwa ujumla iko pamoja nao

Ziara hiyo ya ukaguzi wa masoko inaendelea Leo Agosti 16 kwenye masoko mengine ya Manispaa ya Ubungo





Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.