• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

DC BOMBOKO ATOA SIKU 7 MITAA YOTE 90 KUWA SAFI

Posted on: September 30th, 2024

Mkuu wa wilaya ya Ubungo Mh. Hassan Bomboko ametoa siku saba kwa Viongozi na Idara ya Mazingira wilaya ya Ubungo kuhakikisha mitaa yote 90 inakuwa safi huku akiagiza kuwepo kwa uratibu mzuri wa ukusanyaji taka.

Mh. Bomboko ametoa maagizo hayo Septemba 30, 2024 wakati wa kikao chake cha kusikiliza na kutatua kero za wananchi kilichohusisha Mabalozi na Wenyeviti wa mitaa kata ya Kimara, Wenyeviti na Makatibu wa CCM kata ya Kimara, pamoja na wakuu wa Idara na vitengo wilaya ya Ubungo.

Bomboko amelazimika kutoa maagizo hayo baada ya kuibuka kwa kero kubwa ya utupaji taka hovyo, kutozolewa kwa wakati na uchomaji taka unaosababisha moshi mwingi na kuleta kero kwa wananchi.

Amesema utatuzi wa kero hizo kwa wananchi ndiyo ushindi wa CCM katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kuwa serikali imejidhatiti kuondoa kero na changamoto zote.

Pamoja na mambo mengine, amewaagiza Watu wa mipango miji kuhakikisha zoezi la Urasimishaji maeneo linafanyika kikamilifu baada ya kuibuka kero ya Mipango miji na uvamizi wa maeneo.

Awali Diwani wa kata ya Kimara ndg. Ismail Mvungi, amesema serikali imetenga jumla ya shilingi Bilioni 18 kwaajili ya kujenga barabara zote za Kimara zikiwemo Barabara za Kimara- Bonyokwa, Kimara Baruti, Barabara ya Kilungule, na barabara ya Golani primary.


Amesema kupitia fedha za ndani, Kata ya Kimara imepokea Milioni 60 kwaajili ya ujenzi wa barabara za Kimara - Baruti Cam college, Tembo, Kilungule, Java na Mbuyuni.


Pamoja na mipango yote hiyo ya ujenzi wa  Barabara, DC Bomboko ameagiza kutengenezwa mpango maalumu wa kupunguza athari za ubovu wa barabara katika kata ya Kimara.

Katika hatua nyingine, Mabalozi na wenyeviti wa mitaa waliibua hoja ya changamoto ya upatikanaji wa maji kwa zaidi ya miezi mitatu katika mitaa ya Golani, CCM Kimara Baruti, Mtaa wa kipemba, na Ngoi, ambapo DC Bomboko ameagiza DAWASA kufika na kukagua maeneo yote ambayo maji hayatoki, na kuhakikisha mitaa hiyo inapata maji haraka 

Sambamba na hilo, amemuelekeza Katibu tawala wa wilaya ya Ubungo kuziandikia barua mamlaka zote za maji kutoa taarifa kila siku kuhusu hali ya upatikanaji wa maji katika Kata ya mitaa





Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.