• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

DC BOMBOKO AWEKA MSIMAMO WAKE UBUNGO

Posted on: March 26th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hassan Bomboko leo machi 26, 2024 amekutana na kufanya kikao kazi na Wakuu wa Idara na Vitengo, Maafisa Tarafa na Wakuu wa Taasisi lengo ikiwa ni kujitambulisha na kutoa msimamo wake kwa viongozi hao katika kutekeleza majukumu ya kuisimamia serikali katika kuwahudumia wananchi Wilayani humo.

Kupitia kikao hicho Mhe. Bomboko amewapongeza viongozi hao kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuhudumia wananchi katika sekta mbalimbali na kuwasisitiza kuzingatia uadilifu na uaminifu, uzalendo na uungwana uwajibikaji na uchapakazi uweledi na ubunifu pamoja na kufanya ufuatiliaji na usimamizi wa sekta zao kwa umakini mkubwa kwani ndio misingi ya muhimu kwa watumishi wa umma.

Mhe. Bomboko ametumia kikao hicho kuwaeleza viongozi hao kuwa katika kipindi chake cha uongozi wilayani humo atasimamia eneo la usikilizaji na utatuzi wa kero za wananchi ambapo kila mtumishi kuanzia ngazi ya mtaa katika sekta yake anapaswa kutenga muda wa kufanya jukumu hilo ili kupunguza malalamiko kwa wananchi ambayo yanapunguza imani ya wananchi kwa serikali yao.

Mhe Bomboko “Sitafurahi kuona wananchi wanashindwa kupata majibu ya kero zao wakati tuna wataalamu kuanzia ngazi ya mtaa au kwenda kulalamika kwenye vyombo vya habari au mamlaka za juu wakati uwezo wa kutatua upo”

Usimamizi wa miradi ya maendeleo, ukusanyaji wa mapato na uimarishaji utoaji huduma bora kwa wananchi ni moja ya agenda ambazo Mhe. Bomboka atazisimamia kikamilifu ili wananchi wafurahie maendeleo makubwa yanayofanywa na Serikali yao ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia suluhu Hassan.

Akiongea kwa niaba ya viongozi hao Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya ubungo Voster Mgina amemshukuru Mkuu wa Wilaya kwa kikao kizuri cha utambulisho na maelekezo na kuahidi kuyasimamia kwa vitendo maelekezo hayo kwa weledi na ubunifu mkubwa.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.