• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

DC KOMBA AFANYA ZIARA STAND YA MAGUFULI NA KITUO CHA DALADALA MBEZI

Posted on: April 27th, 2023



Mapema leo April 27, 2023 mkuu wa wilaya ya Ubungo akiwa ameambatana na kamati yake ya ulinzi na usalama pamoja na wataalamu kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo katika ukaguzi wa hali ya mazingira kwenye kituo cha mabasi cha Magufuli pamoja na kituo cha daladala Mbezi mwisho


Ziara hiyo ilikua imelenga kukagua hali ya mazingira yanayozunguka maeneo hayo na kutathmini kwa pamoja njia stahiki za kufanya ili kuondokana na changamoto zote za uchafu wa mazingira zilizobainika katika eneo hilo

Akiongea baada ya kukamilisha ziara hiyo, Komba ameonesha wazi kutoridhika na hali ya usafi wa mazingira kwa maeneo hayo. Hali hiyo imetokana na wingi wa biashara zinazofanyika katika maeneo yasiyo rasmi, madampo bubu, uwepo wa vyoo hovyo na utupaji taka ovyo. 

Tayari Mhe. Komba ametoa maelekezo ya kupigwa faini watu wote wanaofanya biashara kwenye maeneo yasiyo rasmi, lakini pia kubomoa vyoo vilivyojengwa bila kufata utaratibu pamoja na kusafisha eneo lote kituo cha daladala Mbezi mwisho mpaka kufikia saa 12 jioni.


"Wilaya ya Ubungo ndo lango la jiji la Dar es Salaam ambapo ndani yake kuna kituo cha mabasi cha Magufuli ambacho ni kituo cha kimataifa, hatuwezi kuvumilia kufanya mambo kiholela na kuchafua mazingira kama hali ilivyo kwasasa" alisema Komba


Aidha kwa upande mwingine, Mhe. Komba amepiga marufuku maeneo yote yasiyo rasmi ya kukatisha tiketi za mabasi ya mikoani na amewaelekeza maafisa wa jeshi la polisi kuwachukulia hatua za kisheria wale wote ambao wanatumika kuwatapeli abiria hasa nyakati za asubuhi


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.