• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

DC KOMBA AKUTANA NA VIONGOZI WA SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VILIVYOPO WILAYA YA UBUNGO

Posted on: May 11th, 2023



Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mh. Hashim Komba leo Mei 11, 2023 amekutana na viongozi mbalimbali wa serikali za wanafunzi kutoka vyuo vyote vinavyopatikana ndani ya wilaya ya Ubungo


Vyuo hivyo ni pamoja na chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Chuo cha Maji, Chuo cha Usafirishaji (NIT) pamoja na chuo cha St. Joseph.

Lengo kuu la kukutana nao kwanza ilikua ni mkuu wa wilaya kujitambulisha kwao, lakini pia kuwakumbusha nafasi ya viongozi hao kwenye kushiriki kuendelea kuifanya wilaya ya Ubungo kuwa yenye amani na utulivu pamoja na kusisitiza suala zima la maadili vyuoni kote huko


Awali akiongea katika kikao hicho Mh. Komba amewapongeza viongozi hao kwa nafasi walizopata kutoka kwenye vyuo vyao kuwa viongozi hivyo wanatakiwa kuitumia nafasi hiyo vema kwa maslahi mapana ya wale wanaowaongoza ili watengeneze uongozi wenye kuacha alama.

Pia amewakumbusha umuhimu wa kuwa na malengo na kuwa tayari kulipa gharama zote za kuyafikia malengo hayo ikiwa ni pamoja na juhudi, uvumilivu na nidhamu.

"Katika Maisha kwanza unatakiwa uwe na dira, uwajibikaji, nidhamu pamoja na kumtanguliza Mungu. Hizo ndio silaha kubwa kwa yoyote yule kufikia malengo yake kwani kila kitu kinawezekana" alisema Komba


Vilevile Mh. Komba ametumia fursa hiyo kuwaasa viongozi hao umuhimu wa kuandaa makongamano ya maadili katika vyuo vyao ili kusaidia kuondoa changamoto zote za maadili zinazoibuka miongoni wa wanavyuo.


Nao viongozi wa vyuo hivyo walioalikwa wamemshukuru mkuu wa wilaya kwa fursa hiyo ya kukutana nao na wameahidi kwenda kutekeleza yote waliyoshauriwa ili kuleta matokeo chanya ya mazingira ya kujifunzia katika vyuo vyao na maisha kwa ujumla


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.