• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

DC KOMBA AKUTANA NA WADAU SEKTA YA MAZINGIRA NA UCHIMBAJI WA MCHANGA

Posted on: October 16th, 2023

Oktoba 16, 2023 mkuu wa wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba amefanya kikao kazi na wadau mbalimbali wa sekta ya mazingira na uchimbaji mchanga ili kujadili njia bora ya kutatua changamoto zilizopo na kuongeza ufanisi wa sekta hiyo

Hayo yekuja kufuatia kuwa na changamoto nyinginzinazoikumba sekta hiyo hali inayopelekea kuibuka kwa uhasama na vitendo hatarishi miongoni mwa wadau hao katika maeneo yao ya kazi hiyo

Awali akizungumza, Komba ametanabaisha kuwa mtandao wa uchimbaji holela wa mchanga kwenye mabonde mbalimbali ya Manispaa ya Ubungo ni mtandao mrefu sana ambao ametumia muda mwingi kufanya utafiti ili kujirisha mambo mbalimbali kuhusu sekta hiyo

"Sekta hii inakabiliwa na changamoto nyingi ambazo mimi binafsi nimefanya utafiti wa kutisha na kuzigundua changamoto hizo. Mpaka sasa nimefanya kazi yangu kwa asilimia 95 na hivi karibuni tutaitisha mkutana mwingine kwaajili ya kukabidhi ripoti kwa kikosi kazi cha mkoa" alisema Komba

Naye Ndg. Masele mwenyekiti wa mtaa wa Matosa kata ya Goba ameshauri kuwekwa kwa mikakati madhubuti ya utoaji wa elimu na uwezeshaji wa kamati za mazingira za mitaa ili kuifanya kazi ya kudhibiti uchimbaji holela kwa ufanisi mkubwa

Aidha DC Komba ametumia kikao hicho kutambulisha kikosi kazi maalumu (Task Force) ambacho kina jukumu la kukabiliana na vitendo vyote viovu katika sekta hiyo ikiwemo uchimbaji holela wa mchanga ikiwa ni pamoja na kuwakamata wanavunja sheria na kuwapeleka kwenye vyombo vya sheria


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.