• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

DC KOMBA ATAKA VIONGOZI WA SERIKALI NA CHAMA KUSHIRIKIANA VYEMA

Posted on: March 23rd, 2023



Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba amewataka Watumishi na Viongozi wa Kisiasa wa Halmashauri ya Manispaa hiyo kushirikiana vyema katika kutekeleza majukumu yao kwa maslahi ya wananchi wa Wilaya hiyo.


Hayo ameyasema leo tarehe 23 Machi, 2023 wakati wa kikao kazi kilichojumuisha Viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwemo Madiwani, Wenyeviti wa Chama, Makatibu wa chama, Makatibu wa Siasa na uenezi wa chama ngazi ya Kata pamoja na Watendaji Kata wa Halmashauri hiyo lengo ikiwa ni kuboresha mahusiano mazuri baina yao.


Mhe. Komba ameendelea kueleza kuwa katika kuwahudumia wananchi ni muhimu kuwa na mtazamo mmoja baina ya chama na Serikali ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora na stahiki kama ambavyo ilani ya chama inaelekeza.

“Naomba msiwe kikwazo cha kuichonganisha Serikali na wananchi wake fanyeni kazi kwa weledi kwa kuzingatia sheria kanuni na taratibu” Alisema Komba.


Aidha, Mhe Komba amezitaka taasisi zinazofanya kazi chini ya Wilaya hiyo ikiwemo TARURA, DAWASA na TANESCO kuhakikisha wanatoa huduma stahiki kwa Wananchi ikiwa ni pamoja na kutatua chagamoto zote ambazo zinaweza kijitokeza wakati wa utoaji wa huduma hizo.


Kwa upande wake Mhe. Mbowe Mwenyekiti wa chama wa Wilaya hiyo amempongeza Mkuu wa Wilaya kwa jitihada anazozifanya ili kuhakikisha wananchi wa wilaya hiyo wanapata huduma stahiki na kuwataka viongozi hao kujiepusha na migogoro wakati wa utekelezaji wa majukumu yao.

Nae Mhe. Juma Jaffary Nyaigesha Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo amesema mahusiano yataendelea kuboresha baina ya chama na Serikali na kwamba maelekezo yote ya Mkuu wa Wilaya yatasimamiwa na kufanyiwa kazi kama ambavyo ameelekeza kwa maslahi ya Wananchi na Taifa kwa ujumla.


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.