• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

DC KOMBA ATEMBELEA KITUO CHA KULEA WATOTO YATIMA -GOBA

Posted on: February 4th, 2023

Ili tuwe na jamii bora yenye upendo na uzalendo ni lazima kila mmoja wetu ajenge utamaduni wa kugusa maisha ya mtoto asiye wa kwake. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba alipotembelea kituo cha kulea watoto yatima cha Huruma Children's Home kilichopo kata ya Goba 

Akizungumza katika shughuli hiyo Mhe. Komba amesema ameamua katika shughuli yake rasmi ya kwanza nje ya ofisi, ameamua awatembelee watoto hawa ili kuwafariji na kuwapa matumaini kwa maisha wanayoyapitia hivi sasa pamoja na kutoa msaada wa mahitaji yao ya msingi. 

"Nilitafakari maisha yetu binadamu na maisha yangu mwenyewe. Mimi ni matokeo ya kusomeshwa pamoja na kusaidiwa na watu wasiokua ndugu zangu kwa asilimia 100. Niliona nitumie fursa hii napoanza kazi za nje kwa wilaya ya Ubungo niende kwa watu wanaopita kwenye historia kama ya kwangu" Alisema 


Katika ziara yake Mhe. Komba amekabidhi msaada wa Magodoro 7, Mchele kilo 100, Sukari kilo 25 pamoja na sabuni. Nae mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ubungo Mhe. Mbowe amemuunga mkono mkuu wa wilaya kwa kuahidi kulipa gharama ya maji katika kituo hicho kwa miezi 3 ambapo kwa mwezi ni shilingi laki sita 


Nae Dibogo Willian Mkurugenzi wa kituo cha Huruma Children's Home wakati akieleza historia ya kituo hicho amesema, kituo kilianza mwaka 2006 kikiwa na watoto 16 na hivi sasa kina watoto 26 wawili wakiwa ni wanafunzi wa chuo kikuu ngazi ya shahada na watatu wakiwa ngazi ya stashahada.

Pia ndg. William ametumia fursa hiyo kueleza changamoto kuu za kituo hicho ambazo ni changamoto ya maji pamoja na kukosa usafiri wa kituo ambapo Mhe. Komba amesema kuwa amezipokea changamoto hizo na kuahidi kuzifanyia kazi 


Aidha Diwani wa Kata ya Goba Mhe. Easther Ndoha amemshukuru sana Mhe. Komba kwa kuichagua kata ya Goba kuwa sehemu ya kwanza kuitembelea toka alipohamishiwa wilaya ya Ubungo 













ReplyForward






Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.