• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

DC KOMBA ATEMBELEA WAFANYABIASHARA MASOKONI, ATOA MAAGIZO

Posted on: November 21st, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo  Mheshimiwa Hashim Komba leo tarehe 21 novemba, 2023 ametembelea soko la Njia panda ya Goba na soko la kwa beda na kuongea na wafanyabiashara waliopo katika masoko hayo ili  kujua changamoto mbalimbali  wanazokabiliana nazo na kuzitatua.

Akizungumza na wafanyabiashara wa soko la njia panda ya Goba Komba,

Alimuagiza Afisa biashara kuhakikisha anajenga utamaduni wa kutembelea masoko mara kwa mara ili kujua changamoto zilizopo katika masoko na kuzitatua ili kuepusha migogoro katika masoko hayo baada ya wafanyabiashara wa soko hilo kulalamikia uchafu uliopo sokoni pamoja na miundombinu ya soko kutoboreshwa.

Komba aliendelea kueleza kuwa, Meneja anajukumu la kusimamia  amani inakuwepo katika soko hivyo alimuagiza afisa biashara kufanya uchaguzi wa  viongozi wa masoko na uchaguzi huo ufanyike haraka kwani waliopo ni viongozi wa muda mrefu ivyo muda wao umekwisha.

Komba, aliendelea kumuagiza Afisa biashara kuwasilisha taarifa za mapato na matumizi katika soko la njia panda ya Goba kwa kipindi cha miaka miwili zinazohusu makusanyo na matumizi na taarifa hiyo aipate ndani ya siku 7 kabla ajarudi sokoni hapo

Aidha, baada ya wafanyabiashara kuwasilisha changamoto ya uwepo wa vizimba visivyotumika na  kuna wafanyabiashara wenye uhitaji wa vizimba hivyo, Dc Komba ameagiza pia vizimba hivyo ambavyo viko wazi katika soko la Njia panda ya Goba vigaiwe kwa  wafanya biashara wanaohitaji vizimba kama wahusika wenye vizimba hivyo hawatavitumia  kufanyabiashara kwa muda wa siku 7 kuanzia leo

Katika kutatua changamoto ya  uhitaji wa maboresho ya miundombinu ya  soko la kwa beda iliyowasilishwa na wafanyabiashara wa soko hilo  komba,amesisitiza katika siku 14 ambazo uongozi wa Halmashauri umeahidi utafanya maboresho ya soko hilo ikiwemo ujenzi wa mifereji ya  kupitisha maji pamoja na kituo cha daladala yafanyike ndani ya siku hizo kabla ya kurudi sokoni hapo.

Nae mmoja wa wafanyabishara Amina amemshukuru Mhe.Mkuu wa Wilaya kwa kwenda kusikiliza kero zao na kupongeza juhudi zinazotekelezwa na Serikali katika kuhakikisha ujenzi wa  miundombinu bora ya masoko kwa wajasiriamali wadogo unatekelezwa.


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.