• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

DC MSANDO AWATAKA WENYEVITI KUWASILISHA TAARIFA YA MAPATO NA MATUMIZI

Posted on: October 4th, 2025

Mkuu wa wilaya ya Ubungo Mh. Albert Msando ametoa agizo kali kwa wenyeviti wa mitaa kuhakikisha wanawasilisha taarifa za mapato na matumizi kwa wananchi kupitia mikutano ya wazi, akisisitiza kuwa viongozi watakaoshindwa kutekeleza agizo hilo watachukuliwa hatua za kinidhamu ikiwemo kusimamishwa.

Akizungumza katika kikao kazi kilichofanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Ubungo Mh. Msando alisema uwazi na uwajibikaji ni nguzo kuu za uongozi bora, na hivyo wananchi wana haki ya kujulishwa kuhusu fedha zinazokusanywa na jinsi zinavyotumika katika maeneo yao.

“Kwa mamlaka niliyopewa, nikifika kwenye mtaa na kukuta hakuna mkutano wa kuwasomea wananchi taarifa ya mapato na matumizi, nitamsimamisha mwenyekiti huyo mara moja. Baadaye nitaandaa mkutano mkuu wa wananchi kwa ajili ya kumwondoa madarakani,” alisisitiza.

Amesema baadhi ya viongozi wa mitaa wamekuwa wazembe na waoga wa kuwajibika mbele ya wananchi, hali inayochangia kukosekana kwa uwazi katika matumizi ya rasilimali za umma.

Katika hatua nyingine, Mh. Msando alikemea vikali tatizo la utoro mashuleni, akiwataka wenyeviti wa mitaa kuwachukulia hatua wazazi wanaoshindwa kuwapeleka watoto shule au wanaochangia kwa namna yoyote tabia hiyo.

“Utoro hauwezi kuvumiliwa. Viongozi wa mitaa chukueni hatua kwa wazazi wanaosababisha watoto wao wasiende shule. Hili ni jukumu letu sote,” alisema.

Akiweka msisitizo kwenye umuhimu wa lishe bora shuleni, Msando aliagiza wenyeviti hao kuhakikisha wanawahamasisha wazazi kuchangia chakula mashuleni ili watoto wote wapate mlo, jambo alilosema linaongeza mahudhurio na ufaulu

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • UBUNGO YAADHIMISHA SIKU YA UONI DUNIANI KWA UPIMAJI BURE WA MACHO ZAHANATI YA GOBA

    October 15, 2025
  • DC MSANDO ATEMBELEA MRADI WA MAJI KING'ONG'O, AONGEZA MUDA KWA DAWASA KUKAMILISHA KWA UBORA

    October 13, 2025
  • DC MSANDO AWATAKA WENYEVITI KUWASILISHA TAARIFA YA MAPATO NA MATUMIZI

    October 04, 2025
  • SERIKALI KUJA NA MPANGO WA DHARURA NA HARAKA KUTATUA CHANGAMOTO YA USAFIRI WA MWENDOKASI

    October 01, 2025
  • View All

Video

UBUNGO YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA | WANAFUNZI WAASWA KUJITUNZA
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.