• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

DC UBUNGO AZINDUA MAENEO YA IBADA KITUO CHA MABASI CHA MAGUFULI

Posted on: February 25th, 2022



Mkuu wa Wilaya ya Ubungo aliewakilishwa na Afisa Utumishi Mkuu wa Manispaa ya Ubungo Selemani Kateti jana tarehe 25.02.2022 amezindua maeneo ya ibada katika kituo cha mabasi cha Magufuli kwa waumini wa kiislam na kikristo lengo ikiwa ni kuwapa fursa wasafiri na wanaofanya shughuli zao katika kituo hicho.


Kateti amezindua maeneo hayo leo kwenye swala ya ijumaa iliyofanyika katika kituo hicho amesema maeneo hayo yaliyopangwa kwa ajili ya kufanyia ibada yakatumike kwa malengo yaliyokusudiwa na si vinginevyo. 

 

“Yatumieni maeneo haya kwa ajili ya ibada za kawaida na sio shughuli nyinginezo yaani shughuli zote za msikitini zikafanyikie msikitini na shughuli zote za kanisa zikafanyikie kanisani na pasifanywe kuwa ni mahali pa kulala.” Alisema Kateti.


Aidha Kateti amewataka viongozi wa dini kuhamasisha waumini wao  kutoa ushirikiano kwenye mazoezi yote ya muhimu ya kiserikali ikiwemo zoezi la anwani za makazi na sensa wanapoendesha ibada zao misikitini na makanisani ili kufanikisha mazoezi hayo muhimu kwa maendeleo ya Taifa.


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • MHE.MALIMA KATIKA BANDA LA UBUNGO MAONESHO NANENANE

    August 06, 2025
  • UBUNGO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA DUNIANI, ZAHANATI YA GOBA

    August 05, 2025
  • MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA YAZINDULIWA

    August 04, 2025
  • USAFI WA MWISHO WA MWEZI WAFANYIKA MANZESE

    July 26, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.