• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

DC UBUNGO AZINDUA MFUMO WA ANWANI ZA MAKAZI NA POSTIKODI

Posted on: February 26th, 2022


 

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kheri James amezindua rasmi mfumo wa Anwani za Makazi katika Wilaya hiyo kwa kuweka vibao vya anwani katika barabara na nyumba zilizopo mtaa wa Goba barabara ya kinzudi Kata ya Goba. 


Uzinduzi huo umefanyika leo Februari 26, 2021, ambapo Mh James  amewatangazia wananchi  hao kuwa zoezi la anwani Kwa Wilaya hiyo  limeanza rasmi  hivyo wananchi watoe ushirikiano mkubwa kwa wakusanya taarifa watakaofika kwenye maeneo yao


 "Zoezi hili  linahusisha wananchi kwa maana ya ushiriki na viongozi kwa maana ya usimamizi hivyo kila mmoja atimize wajibu wake" alisisitiza Mhe. James


Aidha amesema ushiriki wa mwananchi ni wa kutoa taarifa zinazotakiwa kwenye zoezi ikiwemo jina kamili la mmiliki wa nyumba au kiwanja, kitambulisho cha NIDA au namba ya NIDA kwa wale wenye navyo, namba ya kiwanja kwa vile vilivyopiwa, na namba za simu.

 

“Kila mwananchi anaemiliki nyumba au kiwanja aache taarifa zake kwa mtu anaebaki nyumbani pindi hatakapo kuwa  hayupo na wapangaji wote pia wanapaswa kuwa na taarifa sahihi za wenye nyumba wao ili kurahisisha zoezi kwa wakusanya taarifa.”


DC ametumia fursa hiyo pia kuwa Anwani hizo zitasaidia  kurahisisha mawasiliano, kuwezesha biashara mtandao, kuimarisha ulinzi na usalama na kuwezesha shughuli mbalimbali za kitaifa ikiwemo zoezi la sensa litakalofanyika mwezi agosti mwaka huu 


Katika kuhamasisha viongozi na watendaji wa kata, Mh. James amewaahidi wenyeviti wa mitaa kuwa mtaa na watendaji wa kata kuwa atakaekuwa wa kwanza kumaliza zoezi atazawadiwa fedha taslimu kiasi cha Tsh 500,000/= na mtaa huo utakaokuwa wa kwanza utapewa kipaumbele kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo na kwa wale watakwamisha watawajibishwa.


James amesema kwa Mkoa wa Dar es Salaam zoezi hili kwa Wilaya ya Ubungo anapenda kuwa wa kwanza kukamilisha na amewataka viongozi kuwapa ushirikiano wachukua taarifa watakaokuja kwenye mitaa yao na kuwasisitiza zoezi hili likamilike kwa wakati, ufanisi na kuwa wa kwanza kumaliza.


“Nasisitiza zoezi hili ni oparesheni lazima liishe kwa wakati, ufanisi na kuwa wa kwanza kumaliza.” Alisema James.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.