• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

GOBA DAY

Posted on: July 31st, 2021

Hafla fupi ya uchangiaji kwa ajili ya maendeleo ya Shule ya Sekondari ya Goba iliyopo Kata ya Goba Wilaya ya Ubungo  yafanyika mapema Leo tarehe 31 July,2021 lengo likiwa ni uchangiaji wa ujenzi wa uzio wa shule hiyo ambayo inatarajia kuanzisha Elimu ya kidato Cha tano na sita

Akiongea wakati wa hafla hiyo mdau wa maendeleo ndg. Watson Mwakalila aliwataka walimu na wanafunzi kuhakikisha Wana tunza Mali za shule iliziweze kudumu

Aidha Watson ametoa   matofali 4,000 kwaajili ya kuanzia msingi wa uzio wa shule hiyo ambayo tayari ujenzi wa bweni kwa wanafunzi wa kidato Cha tano na sita umekamilika

Aidha aliendesha zoezi la ukataji wa keki ambalo alitoa kiasi Cha shilingi laki mbili na kuendesha zoezi la fund rising kiasi Cha shilingi 433,350 cash ilipatikana, 780,000 ilikua ni ahadi, loli mbili za mchanga, tofali 700 na mifuko 10 ya cement  kwaajili ya kuendeleza ujenzi wa uzio huo na kuwapa zawadi walimu wanaofanya vizuri katika ufundishaji pamoja na wanafunzi waongoza katika masomo yao

Aliendelea kutoa ahadi ya kuhakikisha anawashirikisha wadau mbalimbali wa maendeleo ili waweze kusaidia maendeleo ya shule


Nae Mwakilishi wa Mkurugenzi mbaye pia ni  Afisa Elimu sekondari Manispaa ya Ubungo Hilda Sharanda  amemshukuru Ndg.Watson kwa mchango wake katika kuleta maendeleo kwa wana Goba na kuto salam za shukrani kutoka kwa Mkurugenzi wa Manispaa y Ubungo kwa wana Goba

Alikadhalika Makamu Mkuu wa shule hiyo  Pilly Ramadhani  ameshukuru kwa zoezi hilo kwenda salama na kusoma taarifa ya toka kuanzishwa kwa shule hiyo ambayo inaendelea kukua na kupata maendeleo

Sambamba na hayo Bi.marry isac mmoja wa wazazi wa wanafunzi wanaosoma Goba sekondari ameushukuru uongozi wa shule pamoja Ndg.Watson kwa harambee hiyo ya uchangiaji wa uzio wa shule na kuhaidi kushirikiana na uongozi wa shule kuleta maendeleo ya Shule na kuhakikisha wanafunzi wanakuwa katika mazingira bora

NB.Goba day ni hafla iliyofanyika kwa  ushirikiano Kati ya walimu na wazazi kwa lengo la kutatua  changamoto za shule na uchangiaji wa uzio wa shule hiyo



Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.