• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

HALMASHAURI KUU CCM (W) UBUNGO YAFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BOOST UBUNGO

Posted on: October 1st, 2023

“Ninawapongeza sana Viongozi na wataalamu wa Manispaa ya Ubungo hakika Fedha zilizotolewa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya boost mmezitendea haki hakika miradi inavutia na ubora umezingatiwa”

Kauli hiyo imetolewa na Mwenezi wa CCM Wilaya ya Ubungo Mhe. Juma Kishanshu akiwa kwenye ziara ya iliyojumuisha Halmashauri Kuu ya Wilaya ya Ubungo CCM kwa lengo la kujionea namna utekelezaji wa Ilani ya CCM unavyosimamiwa na kutekelezwa ndani ya Manispaa ya Ubungo.

Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule Mpya ya Msingi inayojengwa Mtaa wa Tegeta A ni moja ya mradi uliotembelewa na Wajumbe wa Halmashauri Kuu hiyo ikiwemo Shule Mpya Maalumu ya Sekondari ya wasichana ya sayansi ya Mkoa wa Dar es salaam, kituo cha mabasi cha Magufuli, kituo cha afya cha Goba, zahanati ya Mpigi Magohe, mradi wa ujenzi wa kivuko

Akitoa taarifa ya mradi Shule inayojengwa Tegeta A Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Mwl. Alistides S. Ntakire amesema Manispaa ya Ubungo ilipokea jumla ya shilingi milioni 475.3 kutoka Serikali kuu kupitia program ya Lipa kulingana na matokeo (EP4R - Boost) kwa ajili ya ujenzi wa Shule mpya ya Msingi yenye madarasa 14 ya elimu ya Msingi, Jengo la utawala, madarasa 2 ya elimu ya awali, matundu 18 ya vyoo ya elimu msingi na matundu 6 ya elimu ya awali pamoja na kichomea taka.

Sambamba na Fedha hizo Manispaa ya Ubungo kwa kutumia mapato yake ya ndani imeweza kuongeza kiasi cha shilingi milioni 90.8 kwa ajili ya ukamilishaji wa mradi huo ambao hadi sasa umekamilika kwa asilimia 95.

Akiongea Mhe. Esther Ndoha Diwani wa Kata hiyo amemshukuru Mhe. Rais kwa Fedha hizo ambapo kupitia mradi huu msongamano wa wanafunzi madarasani utapungua na kuongeza ufanisi wa tendo la ufundishaji na ujifunzaji lakini pia utawapunguzia wanafunzi umbali mrefu kufuata Shule zilizo mbali na makazi yao na hivyo kuimarisha usalama wa watoto na ustawi wao kwa ujumla.


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.