• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO YAWATAKA WAMILIKI WA VIBANDA SOKO LA SHEKILANGO NA SINZA KULIPA KODI KULINGANA NA BEI ELEKEZI

Posted on: May 11th, 2020

Afisa Biashara wa Manispaa ya Ubungo Prisca Mjema  wakati akitoa ufafanuzi kuhusiana na bei iliyowekwa na Manispaa kama malipo ya kodi ya vibanda vya soko la Shekilango na Sinza.

Akiongea na waandishi wa habari Afisa Biashara alisema kuwa  Manispaa imekuwa ikipoteza mapato mengi katika vibanda vya masoko hayo kwa kukusanya mapato kidogo kulinganisha na hali halisi ya maeneo yaliyopo.

Aliongeza kuwa bei iliyopangwa ya Tshs.150,000 imewekwa kwa mujibu wa sheria ndogo ndogo za Halmashauri na vile vile imezingatia bei halisi ya upangishaji katika maeneo husika.

"Niwaombe wafanyabiashara wawe waelewa na kama kuna jambo hawajalielewa basi ofisi zetu zipo wazi kwa ajili ya kutoa ufafanuzi na  Kama watalipa kodi kwa majibu wa mkataba basi Manispaa itaongeza mapato na kuweza kujenga miundombinu mizuri katika masoko yetu, kujenga masoko mapya, kujenga madarasa na maendeleo mengine". Alifafanua Afisa Biashara.

Nae Meneja Masoko wa Manispaa *Ndg. Geofrey Mbwama* alisema kwa soko la Shekilango lina jumla ya vibanda 293 na wanaolipa kodi ni vibanda 27 tu, soko la Sinza lina vibanda 192 na wanaolipa kodi ni vibanda 97 tu hali ambayo inapelekea Manispaa kupoteza mapato mengi.

Aliongeza kuwa katika vibanda hivyo wajenzi wengi wamevipangisha kwa wafanyabiashara wengine kinyume na sheria lakin pia wamekuwa wakiwatoza kodi kuanzia Tshs 80,000 hadi Tshs.600,000 kwa mwezi wakati Manispaa ikipokea 15,000 tu.

Aidha kwa  utafiti na mazungumzo yaliyofanyika kati ya Manispaa na waliojenga vibanda mambo kadhaa yalibainika, Wajenzi wengi walikuwa hawana nyaraka wala gharama halisi, Wajenzi wote hawana mikataba kutoka Manispaa ya Ubungo, Hakuna ramani za wajenzi wa vibanda, waliojenga sio wanaofanya biashara bali wengi wao wamewapangisha watu wengine kinyume cha sheria na taratibu.

Mwisho Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic aliwaasa wamiliki wa vibanda hivyo kuweza kukubaliana na kulipa kiasi kilichopangwa kwa mujibu wa sheria kwa maendeleo ya wanaubungo na watanzania kwa ujumla katika kuleta maendeleo.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.