• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

HONGERA MANISPAA YA UBUNGO KWA USHINDI WA KISHINDO KATIKA MAONYESHO YA NANENANE

Posted on: August 8th, 2020

Tarehe 8/8/2020 katika kilele cha maadhimisho ya maonyesho ya nanenane  Manispaa ya Ubungo imeibuka mshindi wa  pili kimkoa na nafasi ya  tatu kwa kanda ya Mashariki inayojumuisha mkoa wa Tanga, dar, pwani na morogoro.

Katika maadhimisho hayo ya nane nane wageni wamekuwa wakipewa elimu kuhusiana na mambo tofauti tofauti kama,

Urutubishaji wa udongo kwa njia za asili kwa kutumia pumba za mpunga, pumba za mbao, majani makavu na mbolea za wanyama

Pia Mtambo wa kutoa chumvi kwenye maji ambao hautumii umeme na Shamba la asili la dawa linalolimwa kwa njia ya asili kwa kutumia mimea ya asili.

Gesi inayotokana na kinyesi cha  binadamu na wanyama na mimea na majiko yanayotumia nishati ya makaratasi.

Sambamba na hayo Mashine za kuzalisha umeme kwa njia ya upepo ambazo zinaitwa (Windmill generator) pia mashine ya kuvuta maji (windmill water  pampu) na windmill complesa mbayo inaendeshwa na upepo

Nae mmoja wa wakulima Laurian Adolf aliendelea kuonyesha ubunifu wake wa  nishati ya magogo ya karatasi kwaajili ya kuendesha viwanda kama viwanda vya tumbaku, viwanda vya  kukausha samaki na viwanda vya ukaushaji wa mazao.

Kivutio kingine kizuri  katika maonyesho hayo kumekuwa na bwawa kubwa  la samaki, ng'ombe mwenye uwezo wa kutoa lita 16 kwa siku na mifugo mbalimbali kama sungura  n.k


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.