• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

Posted on: April 30th, 2025

Ni kwa mara ya kwanza kituo cha afya Goba katika kata ya Goba kimeanza utoaji wa  huduma ya kujifungua kwa upasuaji na  tarehe 30/4/2025 kituo hicho kimefanikiwa kutoa huduma hiyo na mtoto wa kiume amezaliwa

Akisoma taarifa ya uzinduzi wa jengo la huduma ya upasuaji katika kituo hicho ambayo imeanza rasmi leo  baada ya jengo hilo  kuzinduliwa, Mganga Mfawidhi Dkt. Elias Ndahani amesema kuwa jumla ya akinamama ambao mpaka sasa wamejifungua katika kituo hicho ni 194,  afya ya mama na mtoto 34,904 huku wagonjwa wa nje wakifikia idadi ya watu 22,071

 Ukamilikaji wa jengo hilo la upasuaji katika kituo hicho kwa sasa Dkt. Ndahani amesema kuwa huduma ya upasuaji  imeanza rasmi kutolewa  na itakua endelevu na kuwataka wakazi wa kata ya Goba na maeneo jirani kufika katika kituo  kupata huduma hiyo inayotolewa na madaktari wenye ubingwa bobezi.

Akizindua jengo la upasuaji (Theater)  katika kituo hicho Mgeni rasmi Diwani wa kata ya Goba Mhe. Ester Ndoha amesema changamoto katika sekta ya afya katika Kata ya Goba  imeendelea kutatuliwa na Serikali kwa ukubwa ambapo ndani ya miaka minne ya Serikali ya awamu sita mpaka sasa Goba ina kituo cha afya kilichogharimu milioni 756 kwa majengo yaliyopo ikihusisha jengo la maabara,  upasuaji na wagonjwa wa nje

Pia, Mhe. Ndoha ametoa rai kwa Mganga Mkuu kuhakikisha madawa na huduma kwa watoto kupatikana katika kituo hicho kwa weledi ili wananchi waweze kukifurahia kituo hicho kwa huduma bora.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.