• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

IJUE TOFAUTI KATI YA GREEN HOUSE NA SCREEN HOUSE

Posted on: August 3rd, 2023

Kitalu nyumba “green house” ni aina ya kilimo kinachofanyika ndani kwa kujengewa na kuwekewa mifumo ya kudhibiti hali ya hewa tofauti na ilivyo kwa Kitalu nyumba aina ya “screen house” na kilimo cha nje “open field” ambacho ni ngumu kwa mkulima kuweza kudhibiti hali ya hewa hasa Hali ya joto.

Hayo yamesemwa na Ndg. Pascal Stephano Moswery ambae ni Mtaalamu wa Kilimo biashara akiwa kwenye maonesho ya nanenane ndani ya Banda la Manispaa ya Ubungo viwanja vya J.K Nyerere vilivyopo Mkoani Morogoro.

Moswery ameendelea kueleza kuwa Green House ni kilimo kinacholipa zaidi  ukilinganisha na kilimo cha screen house au open field kutokana na uwepo wa Mitambo inayotumiwa kwenye kilimo hicho ya kudhibiti hali ya hewa na hivyo kupelekea Mkulima kupata mazao mengi na yenye ubora wa hali ya juu.

Aidha, Moswery ameendelea kueleza kuwa mara nyingi kilimo cha green house au screen house huwa kilimo kinachofanyika kwenye eneo dogo hivyo ni vyema mkulima kuchagua mazao yenye kulipa zaidi ambayo atayauza kwa gharama kubwa mfano letusi, hoho za rangi, matango, nyanya na mengineyo ya aina hiyo.

“Kumbuka kuwa kulima sio suala la kuweka mbegu au kupanda tu mche na kumwagia maji Mkulima ni lazima kuzingatia sheria na taratibu za kilimo ili uweze kupata mazao mengi na yenye ubora” Alisema Moswery

Ikumbikwe kuwa miongoni mwa faida za kufanya kilimo cha green house au screen house ni kuzuia wadudu ambao wengeweza kuingia kwenye mazao na kutagaribu.

Moswery amepanda mazao mbalimbali kwa kutumia kilimo cha screen house ndani ya eneo lililopo kwenye bando la Manispaa ya ubungo zikiwemo hoho za rangi “colured cupscum” letusi nyekundu na kijani, nyanya, pilipili zizisowasha “paprika” pamoja na matango  “british cucumber” ambazo zimestawi vizuri na kwa ubora.

Tembelea Banda Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kwenye viwanja vya J. K Nyerere hapa Mkoani Morogoro kwenye maonesho ya nanenane upate fursa ya kujifunza bure masuala ya kilimo, mifugo na uvuvi hutojuta kutembelea Banda hilo.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.