• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

ISAHAU JANA,ITIMIZE LEO KWA MUSTAKABALI WA KESHO-DC KOMBA

Posted on: December 15th, 2023

Ikiwa  Desemba 15, 2023 yamefanyika mahafali katika nyumba ya kulea wahanga wa biashara haramu ya kuuza binadamu katika kituo cha DMI spring of home, mkuu wa wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba amewahusia wahitimu kujiamini na kutokukubali kurudi nyuma walipotoka wakati huu wanapoenda kuanza safari mpya ya maisha yao nje ya kituo hicho

Mhe. Komba ameyasema hayo alipokua mgeni rasmi katika mahafali hayo ambayo yamefanyika katika kituo hicho kilichopo Kibamba Manispaa ya Ubungo ambapo jumla ya wahitimu 63 wa fani mbalimbali wamehitimu leo ikiwemo fani ya mapishi, ususi, ushonaji na Tehama

Mhe. Komba amewapongeza wahitimu hao kwa kuwa miongoni mwa washindi walioshinda vita ya manyanyaso, vita ya unyonge, vita ya kufanyiwa biashara haramu ambapo vitendo hivyo vinafanywa na watu wenye tamaa ya fedha na waliokosa utu.

"Kila mmoja aisahau jana, aitizame leo kwa mustakabali wa kesho. Na kila mmoja ajiwekee nadhiri moyoni mwake kutokurudi kule alipotokea. Anzia hapo kusonga mbele, kila kitu kinawezekana" alisema Komba

Awali akitoa salamu za kituo hicho sister Fatima Rani amemshukuru Mhe. Komba kwa kushiriki mahafali hayo pamoja na ushirikiano ambao amekua akikipatia kituo hicho kwa maslahi mapana ya wahanga wa biashara haramu ya kusafirisha binadamu kutokea mikoa mbalimbali nchini

Kuhusu kuwashika mkono wahitimu hao wanapoanza safari yao mpya ya kujitegemea nje ya kituo, Mhe. Komba ametoa rai kwa jamii kushiriki kwenye kuunga mkono shughuli watakazokuwa wanazifanya katika maeneo mbalimbali ya ujasiriamali

Aidha Mhe. Komba amefungua mlango wazi kwa wahitimu hao kujiunga katika vikundi ili waweze kupatiwa mikopo isiyokua na riba katika kundi la wanawake ili kuweza kujikwamua kiuchumi na kujitegemea kiuchumi ili nao kila mmoja akaguse maisha ya mtu mmoja aliyopo mtaani anayepitia changamoto kama walizowahi kupitia wao


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.