• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

KAMATI YA AFYA YAFANYA KIKAO KAZI

Posted on: September 17th, 2021



Kamati ya afya Msingi ngazi ya Wilaya  yafanya  kikao kazi kuhusiana na maswala ya uhamasishaji wa chanjo ya UVIK0- 19

Akifungua kikao hicho tarehe 17,septemba,2021 Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe.Kheri James ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati hiyo ameendelea kuwakumbusha  wananchi kuhakikisha wanaendelea kuchua tahadhari Kama zinavyotolewa  na wizara ya afya na kupata chanjo ya UVIKO -19 ambayo inatolewa bila malipo nchini kote

Aliendelea kusema kuwa Chanjo ya UVIKO-19 ni hiari Ila tunaendelea kuhamasisha wananchi kupata chanjo hiyo kama kinga

Aidha ameendelea kusisitiza kwa wajumbe kuhakikisha usimamizi na kuratibu shughuli  kazi ya utoaji wa chanjo inafanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa kuwafikia  walengwa  wote ambao wapo katika wilaya

Akisoma taarifa fupi kuhusiana na utoaji wa chanjo ulipofikia mpaka sasa Mratibu wa chanjo Manispaa ya Ubungo Ndg.Boniphasi Katikilo amesema kuwa mpaka sasa watu 14,921 wamefikiwa  Toka chanjo ilipotolewa ambapo wanawake ni 5,640 sawa na 36% na wanaume ni 9,281 sawa na 64%  


Aliendelea kusema kuwa shughuli za utekeleza wa utoaji wa elimu unaendelea na kuhamasisha jamii na taasisi mbalimbali kuhakikisha wanaweka vifaa vya kutakasa mikono katika maeneo yao


Pia kusimamia mwongozo ambao unawataka wananchi kuendelea kufanya shughuli zao za kiuchumi na jamii sambamba na  kubadili tabia zao huku wakizingatia mbinu za kujikinga na ugonjwa huo














Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.