• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

KAMATI YA FEDHA MANISPAA YA UBUNGO YAWAPONGEZA WAJASIRIAMALI KUHAMIA MAENEO YALIYOTENGWA

Posted on: October 18th, 2021

Kamati ya Fedha na Utawala  Manispaa ya Ubungo imetembelea mabanda waliohamishiwa wajasiriamali wadogo waliokuwa wanafanya biashara kituoni hapo katika maeneo yasiyo rasmi,  ikiwemo wale waliokuwa kwenye eneo la kupakia na kushusha  abiria  hali ambayo ilikuwa inaharibu mwonekano wa kituo pamoja na  kusababisha  usumbufu kwa abiria.

ziara hiyo imefanyika  Oktoba 18,2021 ikiwa ni utekelezaji wa majukumu ya Kamati hiyo kila baada  ya miezi mitatu.

Kamati iliamua kutembelea eneo hilo ili kuona utekelezaji wa agizo la Serikali la kuhakikisha wamachinga waliokuwa wanafanya Biashara Katika maeneo ambayo siyo rasmi wamehamia  kwenye maeneo yaliyotengwa.

Wajumbe wa Kamati hiyo wakiongozwa na Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Mhe. Jaffary Juma Nyaigesha amewapongeza wajasiriamali hao kwa  kuhamia Katika  eneo la muda lililopangwa  ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Serikali.

Pamoja na pongezi hizo, Nyaigesha amewataka wajasiriamali hao kuzingatia usafi wa mazingira kwa ajili ya afya zao na kutunza mazingira ya kituo

Akitoa maelezo mbele ya kamati hiyo, Afisa Biashara wa kituo hicho Geofrey Mbwana amesema kuwa jumla ya wajasiriamali 447 walihamishiwa kwenye mabanda hayo ambapo Kati ya hao wajasiriamali 236 walikuwa kwenye eneo la kupakia na kushusha abiria

"Kwa sasa tatizo la wajasiriamali waliokuwa maeneo yasiyo rasmi katika kituo limeisha baada ya kukubali kuhamia kwenye mabanda ya muda yaliyojengwa na Manispaa kwenye kituo hicho ili wayatumie kwa muda wakati jengo rasmi la baba na mamalishe halijajengwa"

Aidha, wajumbe wa Kamati hiyo  walitembelea miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo Kituo cha mabasi cha Magufuli, Hospitali ya Wilaya iliyopo Kimara Baruti, Ujenzi wa madarasa matatu shule ya Msingi msewe na shule ya Msingi  Matosa


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.