• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

KAMATI YA FEDHA YAFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: November 4th, 2024

Kamati ya Fedha na Uongozi Manispaa ya ubungo  tarehe 4 novemba, 2024 imefanya ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo katika ziara ya robo ya kwanza kwa mwaka wa fedha 2024/2025 na kutembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha kibiashara cha East africa Commercial and logistic center ( EACLC) kilichopo ilipokuwa awali stendi ya mabasi Ubungo ambacho ujenzi wake unagharimu kiasi cha  dola za kimarekani kiasi cha shilingi milioni 118 sawa na shilingi  bilioni 271 za kitanzania mpaka kumalizika  na kinategemewa kufunguliwa ifikapo mwezi wa februari,2025

Wajumbe wamepongeza hatua za mradi huo ulipofikia na kutembelea maduka yaliyopo katika kituo hicho ambacho kinaenda kuleta manufaa makubwa kwa wananchi wa ubungo kwa kuongeza fursa za kibiashara na uwekezaji

Na pia wajumbe wa kamati hiyo wametembelea Kata ya Kibamba kujionea uchongaji wa barabara za ndani ambapo Halmashauri ilitenga kiasi cha shilingi milioni 20 kwa kila Kata na katika Kata ya kibamba barabara hiyo imeshachongwa yenye ukubwa wa Km 10.2 inayoanzia mtaa wa gogoni barabara ya Hondogo 1


Wajumbe wamepongeza jitihada ambazo Halmashauri imefanya kwa kuhakikisha maendeleo ya wananchi yanawafikia kwa kuboresha miundombinu ya barabara hiyo ambapo  Kata zote zinaenda kunufaika na kumtaka mkandarasi kuongeza kasi ili aweze kumaliza haraka barabara hizo





Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • WATOA HUDUMA ZA AFYA NGAZI YA JAMII 30 WAJENGEWA UWEZO

    July 14, 2025
  • MAKABURI 29 YA UFI UBUNGO KISIWANI YAHAMISHWA KUPISHA UPANUZI WA BARABARA.

    July 10, 2025
  • UBUNGO TAYARI TUPO KATIKA MAONESHO YA 49 YA KITAIFA YA BIASHARA 7'7, MNAKARIBISHWA

    June 30, 2025
  • SERIKALI YAZINDUA MADAWATI YA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII KATIKA VITUO VYA USAFIRISHAJI.

    June 30, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.