• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

KAMATI YA HUDUMA ZA AFYA NA ELIMU

Posted on: April 25th, 2023



Kamati ya huduma za Uchumi, Afya na Elimu ikiongozwa na Mhe. Ismail Malata ambaye ni Diwani wa Kata ya Mbezi imetembelea miradi ya maendeleo katika Manispaa ya Ubungo, Kamati hiyo inaundwa na Madiwani na wataalamu wa Manispaa hiyo.


Kamati imetembelea miradi hiyo ili kujionea maendeleo na changamoto katika miradi hiyo. Kamati ilitembelea kituo cha Afya cha Amani kilichopo Kata ya Kwembe kujionea hatua iliyofikiwa ya ujenzi na changamoto. Kituo hicho ambacho kitahudumia mitaa nane, kilianza ujenzi wake mwaka 2022 mwezi wa tatu, jumla  ya shilingi milioni 249 zinatumika katika kituo hicho ambacho ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 96, na ujenzi bado unaendelea.


Wakati huo huo kamati hiyo ilitembelea eneo ambalo limependekezwa kujengwa shule itakayo tumia Mtaala wa Kiingereza (English Mediam) lililopo Kata ya Mbezi Mtaa wa Msakuzi Kusini, lenye ukubwa wa hekari 5.


Na baadae kamati hiyo ilifika Kata ya Mabibo Mtaa wa Mabibo Farasi kujionea ujenzi wa Kivuko cha waendao kwa miguu, Pikipiki na Pikipiki ya Magurudumu matatu maarufu kama Bajaj ambao ujenzi wake upo hatua za mwanzo za uwekaji wa nguzo. Kivuko hicho ni muhimu kwa wakazi wa eneo hilo. Kamati ilifika Shule ya Msingi Amani katika Kata hiyo kujionea vyumba viwili vya madarasa ambavyo ni msaada kutoka kwa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku ya Mwisho na matundu 40 ya vyoo na kwasasa yanatumika.


 Mwisho kamati ilifika Shule ya Msingi Reginald Mengi iliyopo Kata ya Sinza kuona ukarabati uliofanyika wa vyumba nane vya madarasa vilivyogharimu kiasi cha shilingi milioni 40



Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.