• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA UBUNGO YATEMBELEA MANZESE SEKOMDARI

Posted on: July 21st, 2023

Kamati ya kudhibiti UKIMWI Manispaa ya Ubungo imetembelea shule ya sekondari ya Manzese kwa lengo la kuongea na wanafunzi wa shule hiyo kuzingatia maadili , sheria za shule na kuepukana na matendo maovu ya kikatili

Akizungumza katika ziara hiyo Eliam Manumbu kaimu mwenyekiti wa kamati ya kudhibiti UKIMWI aliwaasa wanafunzi kujiepusha na matendo maovu ya utovu wa nidhamu wanapokuwa shuleni na majumbani kwani kumekuwa na tabia zisizo sahihi zikiendelea ikiwemo maswala ya ulawiti, ukatili wa kingono, mapenzi wakiwa shuleni , wizi na ulevi.

Aliendelea kwa kusema kuwa ni vyema tukazingatia malengo yaliyotuleta shule na kuachana na makundi maovu, marafiki wasio wema na kila mmoja akumbuke  dhumuni la  kuja shule ni kufaulu na kutimiza malengo yake.

"Tujifunze kuridhika na kile wazazi wetu wanachotupa majumbani, wazazi  wanapigana kwaajili yenu, madhara ya ngono zembe ni kupata maambukizi ya virusi vya UKIMWI". aliwaasa Manumbu".

Aidha, mjumbe wa kamati hiyo Mhe. Jaffari Nyaigesha ambaye pia  ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ubungo  aliwasisitiza wanafunzi hao kuhakikisha Wanasikiliza walimu wao, wazazi, walezi  na viongozi wa dini na kufuata wanayofundishwa. 

"Ili muwe taifa la kesho lenye faida nilazima muwe waadilifu na mkumbuke madhara ya mapenzi ya utotoni ni makubwa ikiwemo maradhi" aliongeza Nyaigesha

Nae Mjumbe wa kamati hiyo  Shehe Simba mwakilishi upande wa dini aliwaasa wanafunzi hao kuacha haraka matendo maovu yanayofanyika kwani hata mwenyezi Mungu apendezwi nayo  na kuzingatia maadili ya dini yanavyotaka.


Akisoma taarifa ya Club ya Afya na Lishe iliyoanzishwa shuleni hapo mwanafunzi Desderia William  alisema Club  inajumla ya wanafunzi 25 na  imefanikiwa kukua na kuanzisha bustani iliyopandwa mboga mbalimbali inayosimamiwa na club hiyo. Pia ameshukuru kwa ujio wa kamati katika shule hiyo kwani umekuwa wa manufaa kwa elimu waliyoipata.

Wanafunzi wa shule ya sekondari Manzese wakisikiliza kwa makini elimu wanayopewa na wanakamati baada ya kutembelea shuleni hapo

Wajumbe wa kamati wakiteta jambo















ReplyForward






Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.