• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI YATEMBELEA CHILD IN THE SUN

Posted on: January 10th, 2024

Kamati ya Kudhibiti Ukimwi Manispaa ya Ubungo imetembelea Kituo cha kulelea watoto cha Child in the Sun kilichopo Kata ya Mbezi Mtaa wa Makabe kujionea namna kituo hicho kinavyotunza watoto hao sambamba na utoaji wa elimu ya kudhibiti maambuzi ya Ukimwi

Kituo hicho kina jumla ya watoto 35 ambao ni wavulana na kinatoa mafunzo stadi ya useremala, uchomeleaji, ushonaji pamoja na ufyatuaji wa matofali kwa watoto hao

Akizungumza katika ziara hiyo iliyofanyika  tarehe 10 januari, 2024 Mkurugenzi wa kituo hicho Padri Pari amesema kuwa kituo hicho kinachukua watoto kuanzia miaka 10 na baada ya kuhitimu miaka 18 kituo kinawatafutia kazi ili waanze kujikimu wenyewe ikiwa ni kwa mujibu wa sheria.

Aliendelea kueleza kuwa,Kituo hicho kina walezi 10 ambao husaidia watoto hao pamoja na mapadri wawili ambao ni viongozi katika kituo hicho

Akiongea katika ziara hiyo Naibu meya Manispaa ya Ubungo Mhe. Yusuph Yenga amewaasa watoto hao wazingatie mafunzo wanayopata kwa manufaa yao ili kukuza vipaji vitakavyowasaidia kuingiza kipato wanapoenda kuanza maisha yao

"Halmashauri itaenda kuhakikisha inawasapoti ili kuwawezesha kukuza vipaji vyenu" na niwa ahidi katika kukuza kipaji cha michezo kwa wale wanaopenda mpira ntawaletea jezi na mpira utakaowasaidia kufanya mazoezi.alisem hayo Yenga

Nae mjumbe wa kamati hiyo ndg. Juvenali Kaganda  aliwataka watoto hao kuachana na tamaa, ngono zembe na udanganyifu unaofanywa na watu waovu ambavyo vinaweza kusababisha kupata maambukizi ya virusi vya Ukimwi

Akishukuru kwa niaba ya wenzie mmoja wa watoto hao Abdalah  ameshukuru kwa kamati hiyo kutembelea kituo hicho na kuahidi kuzingatia elimu waliyoipata

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.