• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

KAMATI YA MICHEZO WILAYA YA UBUNGO YAJIPANGA KUKUZA SOKA LA MPIRA WA MIGUU NA MASWALA YA MICHEZO

Posted on: May 7th, 2021

 Tarehe 7 mei 2021 kamati ya michezo Wilaya ya Ubungo na Uongozi wa cha mpira wa miguu Ubungo (UFA) wamefanya kikao kujadili  utendaji kazi wa chama cha mpira wa miguu (UFA) Ubungo  na maswala mbalimbali ya kukuza michezo katika Wilaya ya Ubungo

Kikao hicho kimehudhuliwa na mwakilishi wa Katibu Mkuu Baraza la michezo Taifa Mirinde Mahona, Afisa michezo wa Mkoa wa dar es salaam Adolf Halii, Wataalam wa Manispaa ya Ubungo na wadau wa michezo wa Wilaya ya Ubungo kutoka chama cha mpira wa miguuu (UFA)

Wakati wa kikao hicho  mwakilishi wa Katibu wa Michezo taifa, Mahona  aliwashauri wajumbe kuhakikisha wanafata sheria, kanuni na misingi ya utawala bora

Aliendelea kwa kusema kuwa uongozi lazima uhakikishe unatatua migogoro ya chama kwa uweredi ilikuepusha sintofahamu kwa wajumbe katika chama

Nae Afisa michezo Mkoa Ndg Adolf Halii  aliwapongeza uongozi wa UFA kwa kufanya kazi zake kwa weredi za  kuendesha chama chao na  kuwataka kuachana na migogoro ya ndani ya chama ilikikue na kupata maendeleo zaidi

Aliendelea kwa kuwataka UFA kuwa na malengo, uwazi, na kuwataka kuhakikisha wanashirikiana  na kamati ya wilaya katika mambo mbalimbali yanayohusu chama chao na klabu

Sambamba na hayo Afisa Utamaduni wa Manispaa ya Ubungo Ritha nguruwe alishauri  uongozi wa cha chama mpira wa miguu UFA kuhakikisha  umoja na mshikamano katika jumuiya zao za michezo ilikuleta maendeleo katika soka na kuachana na mivurugano na migogoro inayoendelea katika virabu na uongozi

Nae Mjumbe wa kamati hiyo Ndg.Adam bwao alisitiza na kuwaomba wajumbe kutambua Michezo ni ajira na inaangaliwa na watu wengi kwa maendeleo ya watu wa ubungo

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.