• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

KAMATI YA SIASA MKOA WA DSM YAFURAHISHWA NA MRADI WA DARASA LA KUJIFUNZA TEHAMA KIDIJITALI KATIKA SHULE YA MSINGI TEGETA A

Posted on: May 16th, 2023



Dunia inabadilika kwa kasi katika uwanda wa maendeleo ya sayansi na teknolojia hali inayopeleka kubadilika kwa mifumo mbalimbali ya elimu ikiwemo ufundishaji wa kisasa kupitia vifaa vya kiteknolojia kama kompyuta na vishkwambi.


Hayo yamebainishwa leo Mei 16, 2023 na kamati ya siasa mkoa wa Dar es Salaam iliyofanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika wilaya ya Ubungo na kufanikiwa kutembelea mradi darasa la kidijitaliwa katika shule ya msingi Tegeta A.


Darasa hilo ni miongoni mwa madarasa mawili tu nchi nzima ambapo jingine lipo shule ya sekondari Kimbiji iliyopo Manispaa ya Kigamboni. Aidha mradi huo unasimamiwa na tume ya elimu Tanzania.

Mradi huo umejengwa kwa shilingi milioni 17.5 kupitia mapato ya ndani ya Manispaa ya Ubungo na vifaa vyake vimepatikana kupitia ufadhili wa serikali ya Korea Kusini ambao wametoa vifaa vyote vya TEHAMA ikiwemo kompyuta 25, vishkwambi vya kisasa 20, Flash 50, Printer pamoja na Scanner.


Mradi huo unatarajia kuwapeleka walimu 20 wa somo hilo nchini Korea Kusini kwenda kujifunza zaidi juu ya teknolojia hiyo ili waje wawafundishe kwa ufanisi mkubwa wanafunzi watakaoanza kufundishwa katika somo hilo la TEHAMA


Akiongea katika ziara hiyo mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa ndg. Juma Simba Gadaf ameipongeza Manispaa ya Ubungo kwa ubunifu na usimamizi wa mradi huo

"Teknolojia inakuwa kwa kasi sana duniani hivyo ni muhimu kuanza kuwafundisha watoto wetu juu ya matumizi ya vifaa na teknlojia mbalimbali za TEHAMA ili kuwaandaa kushindana na soko kubwa la ajira kidunia, hongereni sana Ubungo" Alisema

Nae Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo ndg. Beatrice Dominic ameieleza kamati hiyo kuwa uanzishwaji wa darasa hilo la ufundishaji TEHAMA kidijitali ni mwendelezo wa utekelezaji wa ilani ya CCM (2020 - 2025) katika uboreshaji wa utoaji elimu mashuleni.


Ziara hiyo pia imetembelea ujenzi wa shule mpya ya msingi Kinzudi yenye madarasa 5, hospitali ya wilaya iliyopo Baruti yenye majengo 8 na vifaa tiba vya kisasa, ujenzi wa shule ya sekondari Ubungo pamoja na kutembelea mabanda ya soko la Mabibo Germent

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.