• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

KAMATI YA SIASA MKOA YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI UBUNGO.

Posted on: January 19th, 2022


Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ikiongozwa na Katibu wa Chama hicho Mkoa wa Dar es salaam Adam Ngalawa imetembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo iliyotekelezwa manispaa ya Ubungo ikiwemo ya ujenzi wa madarasa 151, lengo ikiwa ni kujiridhisha na utekelezaji wa ilani ya chama hicho katika kuwahudumia wananchi wake.  

Akizungumza katika ziara hiyo katibu huyo Adam Ngalawa ameipongeza Manispaa hiyo kwa kuisimamia kikamirifu utekelezaji wa miradi hiyo kupitia fedha za Uviko 19 na mapato ya ndani pia ameeleza kufurahishwa na ujenzi wa shule mpya ya Makabe Sekondari na Ukombozi Sekondari shule ambazo zitaenda kumaliza tatizo la wanafunzi kufuata huduma ya elimu mbali na makazi yao.

“Niwaombe kupitia mapato ya ndani tengeni bajetu ya kukarabati madarasa ya zamani ili yawe na muonekeno mzuri kama hayo ya uviko” alisema Ngalawa.

Aidha, kuhusu kuondoa daraja sifuri (division zero) kwa matokeo ya kidato cha nne Ngalawa amesema Halmashauri iweke mpango wa kuomba wanafunzi wa vyuo vikuu hasa kwa masomo ya sayansi kwa ajili ya kuongeza nguvu katika ufundishwaji wa masomo hayo ambapo kwa sasa idadi ya walimu hao ni ndogo ukiringanisha na mahitaji hali inayopelekea wanafunzi wengi kufeli masomo hayo.

“Tunatamani kuondoa “division zero” Dar es salaam kwani fursa ya kupata walimu katika vyuo vikuu tunayo ili kujenga heshima ya Mkoa na Taifa kwa kuwa na wasomi mahili katika masomo ya sayansi” alisisitiza Ngalawa.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe Kheri James ameeleza kuwa Wilaya kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha St Joseph imeanza kutekeleza azimio la kuongeza ufaulu wa masomo ya sayansi katika shule za Wilaya hiyo ambapo wanafunzi wa chuo hicho wataanza kufundisha masomo ya sayansi katika shule mpya za sekondari ya Makabe na Ukombozi.





Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.